Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

from monday to sunday.. kunyalands wanapost mradi mmoja tu wa express.. na unfortunately sio mradi wa serikali yao.. ni mradi na wachina
kwan wenzetu mbona hawawapeleki wananchi wao maji.. nairobi tu si kuna shida ya maji

Monday to Sunday sio! mradi wa mkopo wa Mchina wa $600 mln! pata picha ungekuwa $1 bln!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…