Uko sawa 100%hawa wakenya wanaojitutumia hapa jf kubishana na wtz,baadhi yao wanaishi kenya mashinani na wengine wanaishi nairobi.
kwa wale wanaoishi nairobi,asilimia kubwa wanaishi maeneo haya:
makuru kayaba
githurai
kibera
mathare
kariobangi
kangemi
kawangware
huruma
dandora
kayore
umoja
mwiki.
wakazi wa nairobi wanaoishi maeneo ya westland,lavington,karen na runda,wao hawana mda wa kushinda mtandaoni kubishana na watz kwasababu kipato chao kinawafanya wawe na uwezo wa kutembelea sehemu mbalimbali za Tz kuja kula bata.
wanaifahamu dar vizuri na maeneo yake.wanafahamu vizuri kasi ya kimaendeleo ya jiji la dar.
tatizo lipo kwa wale machokoraa wa yale maeneo niliyotaja pale juu.wao wanaifahamu dar kupitia internet tu.
hawa machokoraa hata nauli ya kutoka nairobi kwenda kula bata mombosa huwa wanakosa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bahat nzuri kapiga picha na slum hahaha kajisahau huyoSawa watz, lakini hebu pia tuonyesheni vitu sampuli hii......kweli mkiwa na hivi mavitu, sisi hapa Kenya tutawaheshimu baraabara.
Lakini as long as bado mko hiovi hivi, mkichest thump ilhali kimiundo mbinu bado mko chini yetu, madharau kutoka kwetu bado mtaendelea tu kuzipata! Kenya ndio nchi ambayo imeendelea zaidi kwenye kanda hili, mkatae mkubali shauri zenu, ukweli bado utabakia pale pale.
Tuanze na eneo ya makaazi
ichoboy01 1 amekuwa akizungumzia kibera kila mara, hili hapa ni mtaa wenyewe wajengwa upya. Ipe kama miaka mitano-kumi hivi
Acha matusi, weka mapicha......u asked for this?Hvi we akili yako iko timamu kabisa unazungumza nin we
Inamaana hua huzioni au heheh huyu jamaa vp tumepost picha mpaka mumekumbia humu hukuziona au ndo umejitia upofuWeka hizo picha, wacha kutapatapa. Mna nini zaidi ya PSPF?
Wekaa pichaa ya mitaa pia, ama nikusaidie?
zile zile as usual hhahhahhaahaha
Fungua page za nyuma utapata naona leo unahahaAcha matusi, weka mapicha......u asked for this?
Mimi sijakutusi, now, weka picha, kabla nikusadie kuweka mapicha za Dar city humuFungua page za nyuma utapata naona leo unahaha
We huwez kunisaidia nimekwambia fungus page za nyuma zimejaa usichoke ww tu maana naona Leo uko race sanaMimi sijakutusi, now, weka picha, kabla nikusadie kuweka mapich za Dar city humu
Okay, nitkuwekea picha za Dar basi uzitazameWe huwez kunisaidia nimekwambia fungus page za nyuma zimejaa usichoke ww tu maana naona Leo uko race sana
Weka nasubiri ili namm nikuekee mazuri mazuri ya nairobiOkay, nitkuwekea picha za Dar basi uzitazame
Kwao hua ni Barbara tu nothing else huwez mkuta mkenya anapost kitu zaidi ya barabara hahahhahaha foolishNairobi, the city of East Africa, unlike no other
Kwao hua ni Barbara tu nothing else huwez mkuta mkenya anapost kitu zaidi ya barabara hahahhahaha foolish
We huwez kunisaidia nimekwambia fungus page za nyuma zimejaa usichoke ww tu maana naona Leo uko race sana
Msikieni huyu jamaa hajui hats mji unaokua kwa kas Africa kama ni dar es salaam hahhaa msaidieni huyu bado hajui kama Tanzania ndio inaongoza kwa ukuaji was uchumi kwa 7% baada ya Ghana africa hhahha hajui badoLOOK AT THIS... THE VERY SOBER VERY ONES KNOW IT
"Watanzania WENZANGU Acheni kujifananisha na Kenya labda kama mnafanya utani. Kenya ni Habari nyingine kwenye ishu ya uchumi na ukuaji wa majiji
tutawapiga kwenye population na vivutio tunayo vingi kuwazid Ila Kwa mji
unaokua Kwa KASI Africa Nairobi inafanya vizuri"