Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uneanza kuweka masoko mzee. Nimeshakuja usikimbie
Hivyo vyenyu vya kienyeji, only building ndio ya maana baki nazo., tuwachie malls zetu na unique design market places coming up.., zenyu za mama mboga na mama ntilie kaeni nazo., private sector, capitalism on steroids, yaani ubepari., ujamaa hatutaki.., nenda kachukue tembo kwa bill yangu hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ .., kisha ukanunue mihogo kwa hizo soko zenyu..,
 
70% ya produce on display inatoka Tanzania! Kuanzia fruits mpaka vegetables mpaka pulse mpaka meat mpaka sembe!
Tusiponunua wewe hauna bando ya kuingia humu., na clan yenyu hawatavaa!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,kisha wa kenya wanatengeneza faida zaidi mara kumi ya wakulima wenu fukara.
 
Tusiponunua wewe hauna bando ya kuingia humu., na clan yenyu hawatavaa![emoji23][emoji23][emoji23],kisha wa kenya wanatengeneza faida zaidi mara kumi ya wakulima wenu fukara.
Wakenya gani wakati tuna mamilionea wengi kuliko nyie
 
Kaa kwa kutulia kijana
 
Umeumia sana mzee, nakwambia hivi ukiona mtu anachukua matunda tz basi ujue kalenga bei ya hko..ywajua akileta huku anapiga faida ya kufa mtu
Nitumie nini Tanzania tumeshaanza kusafirisha mazao yetu wenyewe
 
Wakenya gani wakati tuna mamilionea wengi kuliko nyie
Pesa wanaziweka wapi?.., kwa magunia? those millionaires their wealth zinge reflect in your banking sector performance, kama unaelewa economics, so that must be data uchwara serikali ya CCM ilitoa for international body kutumia to rank Tz ili kujikweza, facts speak otherwise! mko ovyo zaidi ya vile CCM ilikua inawaelezea, waulize CAG.., eti mamilionea, mbona 2021 waliporomoka kama maji kwa mtaro? huoni ni uchwara!

Angalia kipato cha nchi yenyu kwa mwaka? kisha linganisha na budget yenyu? yaani mapato ya kenya ni zaidi ya budget yenyu kwa mbali.., facts! watoa ushuru ni wengi na wako na uwezo wa kutoa, nyie fukara ni wengi serikali pia inachangia kuweka masha magumu kwa mwana biashara, na kiswahili mingi tu ndio mko nayo.
 
Nitumie nini Tanzania tumeshaanza kusafirisha mazao yetu wenyewe
Mkipeleka wapi? kama nilkuleta Kenya hamuwezi kuuza kwa soko direct, lazima muuzie middle men, ama cartels πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , na serikali imeongeza ushuru ili pia kujitengenezea faida! wakenya wajanja wananunua kutoka kwa middlemen na cartels ili wao wauze kwa wholesale price kwa masoko mashinani na kudistribute kwa supermarkets., nyie mnapewa hela kidogo ambayo mnaridhika kwasababu ni zaidi ya kule kwenyu, mnadhani mko sawa lakini wapi., kisha wakenya wajanja pia wanazinunua, wanapakia na kuweka kwa KQ or Ethiopian Cargo, na kuzisafirisha Qatar na Dubai.., na Europe.., I know guys doing well kwa hii biashara, so sio nguvu bali akili tu. Tunafaidika zaidi kutokana na jasho ya wakulima wa Tanzania na uganda!.,
 
Nani kakudanganya tunauza soya china na mazao mengine yanauzwa sehemu nyingine
 
Tunazungukwa na nchi nyingi sio Kenya Tu.
Hizo nchi zingine ni fukara zaidi ya ata Tanzania fukara, na hawaitaji mazao ya shamba kwa wingi, ndio maana vile kenya ilifunga mipaka, wakulima wenu wali fedheheka sana, mazao yao yaliharibika na wengi walipata hasara kubwa kwa vile walikosa pakupeleka kwa bei mzuri.., I followed closely the effects of the closure, ndio nikajua kenya ni babalao, nyie ni domo domo tu humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…