Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu hapa chini ndio unaitwa Azam complex upo Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar, naona mmetii ngj niishie hapa ila mkijaribu tu naliendeleza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Msijiulize kwanini mpira Tz umekua, hiyo ni kwa sababu ya viwanja bora na pesa kwa wachezaji, Tz kuna pesa ndio mana Wachezaji wengi East and Central Africa wanaota kucheza Tz[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao waganda si ndo walikuwa na lockdown heavyweight!????..
 
Mzee wa viwanja Nicxie hii hapa ni Jakaya Kikwete Sports Centre iko pale Gerezani, wala huwa hatuipost humu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa wanajenga hovyo hovyo, hakuna uwezekano wa kuja kutanua road onaa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…