Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna jamaa humu ndani kila akipiga mpira anapiga nje. Kwanza muulizeni Uhuru haya maswali ndomludi humu. Kwani yeye ndochanzo chanie kushindwa hii battle...
 
Kuna jamaa humu ndani kila akipiga mpira anapiga nje. Kwanza muulizeni Uhuru haya maswali ndomludi humu. Kwani yeye ndochanzo chanie kushindwa hii battle...View attachment 542787
 
Tanzania itaua watu humuu
😛😛😛😛😛😛😛😛
View attachment 542716
what?!!!!...no no no....LDC is crossing the warning line....it should be stopped.... this is too much.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
povuuuuuu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
jamani hakuna mkenya aliyekaribu nimchangamshe ili asipate njaaaa
 
kichapo munakipokea kila siku. uliza Annal kwanini hataki kutoa ile mask yake. enda page ya Rooney f.b uone vile munanyanduliwa
mtu kutoka nchi ya njaa,asante kwa taarifa.

nilikuwa sijui kinacho endelea kwenye page ya wayne rooney,nimeingia kwenye
page yake dakika chache zilizopita.

hakika nilichokiona kinachekesha sana.wakenya mnatoa povu lisilo la kawaida,kisa tu wayne na everton fc kuja LDC.

nilichompendea rooney, hana time ya kujibu ule ujinga wenu mnaoandika kwenye page yake kuhusu tz,amewapuuza.

nyinyi watu ni wajinga sana,wajinga mno.mnatoa povu ilhali tayari mtu alishafika bongo,akalala,akafanya kilichomleta,baadae akarudi zake kwao.

hamjioni kuwa nyinyi ni wajinga wa kiwango cha juu?.SMH.

wakati mnaugulia maumivu ya ziara ya everton na wayne rooney nchini,mkumbuke kuwa usher raymond yupo/alikuwepo LDC kula bata,nendeni pia kwenye page yake mkatoe povu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…