Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu naombeni msaada jinsi ya kufanya nisiuone uzi huu ninapoperuzi jf, unanikera sana, i always confuse tje word battle with bashite
 
Let me take a panaromic image. Those are both sides nigga
by the way don't forget to post photos that show excitement moments from spectators.if you won't,we will conclude that the thing you are hosting is boring.[emoji23] [emoji23]

this is a sneak peek of the atmosphere and excitement moment from tanzanian soccer fans during a friendly match between gormhia vs everton.
the stadium was lit...no empty seats.even our former president, j.kikwete,was there.
tulichukua selfie nyingi sana.[emoji23] [emoji23]
 
Before 6 you had more than that.Sisi huku muda unavyokwenda ndouwanja ujaa. Ikifika 6pm hakuna tena nafasi. Because watu ndohuwa wanatoka makazini. Uliona hata Everton match ilianza at 5 pm. Cause ndo muda wa watu kutoka kazini kuja kuangalia mchezo. 6 pm inabidi kiwanja kiwe full. You have got no interest for sports lakini wengi wanadai nihali mbaya yakiuchumi hapo Kenya.
 
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kufanya nisiuone uzi huu ninapoperuzi jf, unanikera sana, i always confuse tje word battle with bashite
wewe ni mjinga sana ujue...peleke siasa zako jukwaa lingine...bwege wee....bashite ndio mdudu gani.
 
there empty seats too at the Everton game. hata hizi picha pia naona empty seats
 
Uongo, Nairobi watu wanafanya kazi hadi late evening, na wengi wanapenda football kuliko riadha, kuona ni kupitia tv manyumbani, kuingia kasarani ni bure kaka kama hauna habari, na wengi ni wafanya biashara sio kuandikwa kama tz.
 
wewe ni mjinga sana ujue...peleke siasa zako jukwaa lingine...bwege wee....bashite ndio mdudu gani.
Naona virusi vimeanza kukushambulia ubongo, kwa mwenendo huo wa kupanic vitu vidogo hivi nadhani ndo unaishia ishia hivyo.
 
sa wasee mnatupostia maselfie kuan hamjaiza capacity y io uwanja wenu...sportpesa made it happen
 
Kuna kiwanja kama hiki kinajengwa Dodoma na Magufuli. Kitakuwa kiwanja kikubwa Africa. Kunajamaa alinidokeza kitakuwa among top stadiums in the world. Napesa Magufuli alidai ipo tiyali wanacho Fanya ni detailed design.
 
wasisahau kua wen a frnd come too confronting think twice..watakua wanabet hadi izo mashamba zao z gover..sportpesa wanajua kukachora njo
Huku kampuni za kubet zipo na sisi wa TZ tunazipiga pesa kama wa Nigeria hadi nyingine tunazifirisi. Umewahi sikia watu wanaotengeneza ticket na code za ushindi baada ya mchezo?? Sasa huo ndo mchezo wetu. Ina bidi wajipange. Premier huku sasa wanachechemea kwa kuibiwa mchezo kwa ticket zakutengeneza. Nigeria wamekimbia kabisa.Sportpesa watapigwa tu kama kampuni za England tumezipiga hawa hawatushindi. Hii ndo bongo. Tunatumia ubongo zaidi kuliko nguvu. S
 
Wewe naona umesha tolewa malinda ndo maana unaharisha ovyo.Vijana wa mjini wamefanya yao.
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kufanya nisiuone uzi huu ninapoperuzi jf, unanikera sana, i always confuse tje word battle with bashite
 
Kenyan company sponsored the event
Kenyan team played the event on your soil
Why are you so proud instead of fealing ashamed






sent from iPhone 7
 
Uongo, Nairobi watu wanafanya kazi hadi late evening, na wengi wanapenda football kuliko riadha, kuona ni kupitia tv manyumbani, kuingia kasarani ni bure kaka kama hauna habari, na wengi ni wafanya biashara sio kuandikwa kama tz.
Hiyo kazi wanafanya akina nani wakati watu kibao hawana ajira huko?

Kenya leads the world in unemployment at 40% - Dhahabu

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…