Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kocha wenu kakiri mwenyewe kasema kwa stadium ya Tanzania alijihisi yupo ulaya

Acha kutaja kasarani ambapo watu wanakalia concrete cement

spensa_e
 
It did not sift operations to Tanzania rather ventured into Tz market just like KCB and all those Kenyan Brands you see all over Tanzania. Why are you so much into claiming sportpesa, it's barely 2 months old in tz and its the talk of the Continent already. I have to give it to the marketing department of Spesa.
It's doing too good you want a piece of it.
 
watu wa nchi ya njaa wanatamani wapate access ya kuingia kwa hizo pages ili waka-edit caption....isomeke kenya...SMH.
Tushatia kufuli kila kona kama tulivowamaliza kwenye mlima kilimanjaro😀😀😀
 
Kwenye ukweli ukubali ndugu
Tanzania stadium is a modern stadium in east and central africa😀😀😀😀😀
 
Kocha wenu kakiri mwenyewe kasema kwa stadium ya Tanzania alijihisi yupo ulaya

Acha kutaja kasarani ambapo watu wanakalia concrete cement

spensa_e
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…