Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mkuu. natoka Kigali, Rwanda. natumai unatoka Bongo. naomba nikuulize, shule bongo wako likizo?
mkuu mkund.... turn lft namkono wa sweta wako mie mbongo kuntu lugha ya kitaa na vfup vmell xo uwez nielewa coz mie sio nyoko ila n nyokolilo
 
The Rock City Mall
Location Mwanza Ilemela
Currently the Biggest Mall in Tanzania. With 50,000sqm retail space
Anchor tenants..TSN Hypermarket ,Mysterious Sinematix






we beat our own record. nice

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Naona vijana wa Nairobi wanakodoa macho tu humu ndani
Sasa na mimi nimeingia tuliamshe dude
 
Kajipange vzr ndugu😀😀😀😀
View attachment 541269
Kajipange vzr ndugu😀😀😀😀
View attachment 541269
That is mwanza REGION not city.
Example: Nairobi city 2009 cencus was 3.1 million. Nairobi metro region was 6.5 million
Mwanza City has a total of 476,646
(Nyamagana District 210,735 and Ilemela 265, 911). The current population is
estimated to be just above half a million people with an annual natural growth
rate of 3.2% and rural to urban immigration almost 8%(National Population)
Mwanza City Profile (english)
 
Uganda ya saini mikataba yakuimarisha usafirishaji na Tanzania. Someni banner ya nyuma kwenye picha ya kushoto. Huwa tunawambia wakenya kuwa Uganda ya kwetu lakini hawaelewi. Mganda hawezi kumuacha Mtanzania. Museveni tumemlea sisi. Taasisi za serikali ya Uganda na Rwanda zina watanzania wanaofanya kazi humwo. Hiyo nisiri nimewapa. Mkae mkijua we are smarter than you.
 
Unanionesha 2009 mm nakuonesha 2012
 
SGR Kenya imeanza kuwa mwiba mwingine nchini humo. Inachomaaaàaaa kama pasi. Tupate habari kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…