Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi is surrounded by fofests and parks
Oloolua forest in Karen,
Ngong forest
Karura forest-Runda( one of the top nairobi estate) is within the forest
Nairobi National Park
Jamhuri park ngong road surrounded by fofests
Which is why its called the green city in the sun
 
Dar es salaam imezungukwa na marine reserves , islands and Game reserves ikiwemo the biggest game reserve in the world.." selous game reserve"
Ambayo inaaminika kua na simba wengi zaidi africa takriban simba 3000......na ikiwa na miti,maua ambayo hakuna kwengine duniani......
 
Jaman hata hivyo vidaraja vdogo mnashindwa kuvisimamia vkajengwa vizur Wakenya na nyie mmezidi wizi... Yaan mnaiba hata hela za kujengea kadaraja ka hako.... Angalia sasa week mbili kashameguka hahahahah angekua magu angelala na Mtu mbele
Magu hawezi kuchekelea upuuzi huo
 
Jaman hata hivyo vidaraja vdogo mnashindwa kuvisimamia vkajengwa vizur Wakenya na nyie mmezidi wizi... Yaan mnaiba hata hela za kujengea kadaraja ka hako.... Angalia sasa week mbili kashameguka hahahahah angekua magu angelala na Mtu mbele
Ki mbele mbele wewe, wiki gani mbili hata haikuwa imekamilika. Ignorance will kill most of you
 
Ki mbele mbele wewe, wiki gani mbili hata haikuwa imekamilika. Ignorance will kill most of you
We Sema ignorance wakati kidaraja kimemeguka ka biscuit kabla hata hakajaisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…