Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro kwanza tanzania ina stadiums nyingi sana kuliko kenya
Na pili most of tanzania stadiums ziko kisasa zaidi

National Gymkhana Club Stadium,
Nairobi. Capacity-10,000
Ruaraka Stadium, Nairobi.
Capacity- 15,000
Nairobi City Stadium, Nairobi.
Capacity- 15,000
Nyayo National Stadium, Nairobi.
Capacity- 30,000
Moi International Sports Center,
Kasarani. Capacity-60,000
Tukiongeza zingine like
City park stadium - hockey stadium
RFUEA grounds-Rugby stadium
Railways Club-Rugby
 
Ni hizo tu umemaliza au bado ziko nyingine
 

Ongezea na stadium zote za kenya ..alfu nije na list ya tanzania uone
 
We now need 5 new World class stadiums in Kenya. Jubilee รธr Nasa should dรธ something.
 
We now need 5 new World class stadiums in Kenya. Jubilee รธr Nasa should dรธ something.
Una stadium gani ambayo world class nitajie moja tu๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Uwanja wa kuwachezesha everton munao????
 
Yap and its 35000 now sio 23000
Says a guy ambeye sasa hivi hakuwa na habari.
Anyway i don't see sense in how a halfway seat surrounded stadium can have a 35K capacity while nyayo a with fully seat surround has 30K capacity. When they are both almost the same size.
 
Acha kufananisha uwanja wa dar na vitu vya kijinga
Acha kuleta Illeteracy hapa. We are doing comparison with proof, not thrash talks so you either keep off ama uchangie na picha, au statistics lakini sio mitusi inayoashiria ukosefu wa elimu na adabu
 
Says a guy ambeye sasa hivi hakuwa na habari.
Anyway i don't see sense in how a halfway seat surrounded stadium can have a 35K capacity while nyayo a with fully seat surround has 30K capacity. When they are both almost the same size.
Nilikua sina update hio kwan unafkiri ntajua kila kitu we vp๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ