Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watalii wakiwa kibera katika moja ya maeneo yautalii yanayoingizia jiji la nairobi (Green city in the sun)kipato
 
Apo ndio nairobi bana Eti ndio Newyork of east Africa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Note:Kibera kuna watu million moja (1M )wanaoishi katika hayo mabanda yakiyopigwa na radi apo....Will do my best nipate za slums zingine. ....nyie jamaa Hamna kitu bana mmetuzidi mbali sana kwa slums mmejipanga kwelkwel
 
Hamna kitu hapo. Tell us how many kilometers and flyovers ngapi najua road toll its just a dream to you. Hivyo tu viwili usilopoke
πŸ˜€πŸ˜€ you are seriously asking me how many flyovers there are... You have unlimited supply of countryboy in you.
 
Nairobi has won this one...nafungua trend ya dar vs Mombasa sai
Usihangaike kufungua thread iingiza na mombasa humu ndani alaf tutakupa sehemu za dar zenye hadhi ya mombasa....kwann utafute njia wakat njia ipo hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Usihangaike kufungua thread iingiza na mombasa humu ndani alaf tutakupa sehemu za dar zenye hadhi ya mombasa....kwann utafute njia wakat njia ipo hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Jamaa anahangaika sana uyu[emoji16][emoji16]
 
Note:Kibera kuna watu million moja (1M )wanaoishi katika hayo mabanda yakiyopigwa na radi apo....Will do my best nipate za slums zingine. ....nyie jamaa Hamna kitu bana mmetuzidi mbali sana kwa slums mmejipanga kwelkwel



it has 200k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…