Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee has nothing to do with kenyans slang
2nd I can afford atleast 50$ per night as well
3rd kuhusu hotel tumewachapa za macho try other thing instead
 
hehe.. investors wa Kenya hao. au sio?
Pesa huja kwenye pesa hakuna investor anapeleka pesa kwenye hasara....investors kibao wanaingizana bongo kuja kutafut opportunities na ndio maana economy ya tz ina kua kwa speed kubwa sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mzee has nothing to do with kenyans slang
2nd I can afford atleast 50$ per night as well
3rd kuhusu hotel tumewachapa za macho try other thing instead
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wanajua mbona kua hawatoki ndio maana mguu ndani mguu nje
 
hehe.. investors wa Kenya hao. au sio?
Na ntakupa mfano hai
Kuna kampuni moja inaitwa dalbit nafkiri ni ya south africa, lakini walianza kuinvest kenya alaf wakaja tanzania lakini nenda uangalie biashara yao kubwa na assets zao ziko tanzania....yani kwa kifupi wamebadili upepo kwa tanzania
 
Do you know how much a 1 bedroom unit apartment will cost you at le mac?
 
Pesa huja kwenye pesa hakuna investor anapeleka pesa kwenye hasara....investors kibao wanaingizana bongo kuja kutafut opportunities na ndio maana economy ya tz ina kua kwa speed kubwa sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
sio wewe unayeongea hapa kuhusu Investors kila siku??? ama umesahau.
 
sio wewe unayeongea hapa kuhusu Investors kila siku??? ama umesahau.
Ndio nakupa mfano huo sasa usishangae kuskia economy ya kenya imeshikwa na wawekezaji kwasababu kenya inamilikiwa na watu wachache tu na hilo liko wazi niliwah kufika mombasa maeneo ya bamburi nikaoneshwa nyumba ya uhuru kenyatta nilishika kichwa yani kiwanja kikubwa sana tena sana sikuamini
 
Fyi the hotel industry in kenya os so mature, more than a century old now. The likes of stanley hotelbeing established in 1902. Hilton hotel the one you see now was built in the 50 's so there is no way you can compare the 2 cities in the hotel sector
 
Sure...so tanzania is far ahead....asante kwa ukweli
 
mzae wacha kudanganya. kwanza hakuna nyumba ya Uhuru Bamburi hehehehehe.... do you actually know who you are talking to????? jaribu fala ingine bangu bangu
 
mzae wacha kudanganya. kwanza hakuna nyumba ya Uhuru Bamburi hehehehehe.... do you actually know who you are talking to????? jaribu fala ingine bangu bangu
Mm nilioneshwa maeneo ya bamburi na mwenyej wangu....ar u the auditor of uhuru kenyata???
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ jaribu kukua kidogo
Mtu ameshika ardhi ya kenya takriban robo alaf unazungumza nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…