Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unless you don't have a brain. ...I have posted most of eastlands over here .....give us your estates now not just talk
Kitu nime note mkenya ukigusia issue ya Ku own land and build a house in Nairobi anakuwa mkali na kurusha povu
Sio ww tu unakuwa mkali wenzako wote wapo ivyo
Ila kuwa humiliated with your family kuishi kwenye dormitories apo Nairobi kunawafanya inakuwa na hasira na watanzania ambao wana builds houses of their dreams
 


leteni dormitories kama hiyo kariakoo. ......next. I don't need your lectures just estate photos
 
I don't want a scuffle coz link nitakuaibisha nazo ni mob.....just give us your CBD photos. Hahaha
common people in nairobi nyumba zao ziko makuru kayaba,kibera,mathare na kwengine lakini investors ndio wanamiliki magorofa na estates bila kusahau familia ya kenyatta na politicians
 
And my point is simple. "MOUNT KILIMANJARO IS VISIBLE FROM NAIROBI " why are you finding a hard time understanding the meaning of that??!!
 
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ panauma sana hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…