sinishakujibu au hujaridhika maana makuru kayaba na kibera ndio kuna makazi ya kuzimu so simba hawezi kosakuuliza brathee. hizo ndio maswali ldc countries huulizwa dunia nzima. jifundishe kujibu maswali
ukitaka kujua watu wengi wanapanda mlima kilimanjaro ona hio ramani ya njia za kupanda mlima zinaongezwa kila leo...😀😀😀😀😀😀😀
Safi sana,yaani wageni wakiuona mlima kwa mbali wanapata usongo na kuhamasika kuupanda,mwisho wa siku lazima watie timu Tz.ili wakamilishe kiu yao!As a matter of fact, The Pinnacle (Hass) will have a view point for mt kilimanjaro. Listen in.
Safi sana,yaani wageni wakiuona mlima kwa mbali wanapata usongo na kuhamasika kuupanda,mwisho wa siku lazima watie timu Tz.ili wakamilishe kiu yao!
😀😀😀 watu wanaishi zile enzi za Yesu
Annael. ....Ichoboy. ....Kadoda....spensa. ...lusematic wanaslay ki Dar style
What the hell are this things?
Why do we need a beach in Nairobi when we have many at the coast?Vipi hapo Nairobi pana beaches, bahari
Don't argue with Ramaphitecus, Neanderthals and so onWhy do we need a beach in Nairobi when we have many at the coast?
Niko ufisi kiasiDon't argue with Ramaphitecus, Neanderthals and so on
Nilikuwa na mjibu huyo zuzu kuonesha kwamba hatuhitaji kuwa na mbuga uchwara dar es salaam kama hapo Nairobi, kwasababu tunazo nyingi na nzuri miji mingine kama arusha ,iringa na KilimanjaroWhy do we need a beach in Nairobi when we have many at the coast?
bro do u understand my fact nimekwambia no tourist will spend alot of money from europe to mt kilimanjaro alafu asije kilimanjaro kwenyewe, na watalii wameongezeka sana mlima kilimanjaro ndio maana unaona kila siku wana tengeneza gates za kupanda mlima kilimanjaro....broAs a matter of fact, The Pinnacle (Hass) will have a view point for mt kilimanjaro. Listen in.
Na hvi ndivo watalii wanavoingizana kilimanjaroAs a matter of fact, The Pinnacle (Hass) will have a view point for mt kilimanjaro. Listen in.
Hizi direct flight ni mwiba Kwa jkia na Kenya nzimabro do u understand my fact nimekwambia no tourist will spend alot of money from europe to mt kilimanjaro alafu asije kilimanjaro kwenyewe, na watalii wameongezeka sana mlima kilimanjaro ndio maana unaona kila siku wana tengeneza gates za kupanda mlima kilimanjaro....bro
Na hvi ndivo watalii wanavoingizana kilimanjaro
Kuja kuona maajabu ya dunia
View attachment 524967
Hamuna ubaguzi vp wakati tribalism imewajaa na inawaua.....the point is hakuna tourist mjinga atoke kwao aseme anakwenda kilimanjaro alafu aishie nairobi kuuona, wakati mwengine punguza utoto.... tumeoneza gates za kupanda mlima kilimanjaro na bado watalii ni wengi zaidi kila mwaka, na ukiachana na mlima kilimanjaro kuna mti mrefu africa pia uko kilimanjaro so watalii wamejitokeza kwa wingi sana kushuudia na sasa wanajaribu kutengeneza njia ya kuufikia mti huo..It should show you how mature kenya and kenyans are with natural attractions, hatuna ubaguzi, utoto na ujinga kama wengine wenu ambo wasema ati Mt Kenya ni ugly.
It's also an indication of how strategically Nairobi is located as an economic zone, not sparing the natural scene.
Imagine it's the only City in the world where you can view both the tallest and the second tallest Mountain in Africa. Let alone the only city with a National park a few Kilometres from the CBD. Ama pia hio mtapinga.
Maan this is the City to explore
LET THAT SINK IN FOR A MOMENT.
Na bado subiri ndege za air tanzania zitue mwakani ndio mwiba wenyewe watauona sasaHizi direct flight ni mwiba Kwa jkia na Kenya nzima
Hatuna ushamba huo
Annael. ....Ichoboy. ....Kadoda....spensa. ...lusematic wanaslay ki Dar style
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hamuna ubaguzi vp wakati tribalism imewajaa na inawaua.....the point is hakuna tourist mjinga atoke kwao aseme anakwenda kilimanjaro alafu aishie nairobi kuuona, wakati mwengine punguza utoto.... tumeoneza gates za kupanda mlima kilimanjaro na bado watalii ni wengi zaidi kila mwaka, na ukiachana na mlima kilimanjaro kuna mti mrefu africa pia uko kilimanjaro so watalii wamejitokeza kwa wingi sana kushuudia na sasa wanajaribu kutengeneza njia ya kuufikia mti huo..
Tanzania ni moto kaka
kuna outside jacuzzis na hot steamy swimming pools.Vipi hapo Nairobi pana beaches, bahari