Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

miaka yote mkenya huwa hana uwezo wa ushawishi ndiyo maana kupata nyazifa za juu za kimataifa huwa wanazinusa nusa tu....
Na hata wakisaidiwa hawawezi,,Tuliwapigia debe yule Mama Amina hata Ale shavu la AU,wakashindwa.Sasa kuna hyo wanapigania hapo UNSC,hiyo ndo inamfanya Mkenya anakuchekea....Nyanja za Kimataifa .....Bado sana...Hakuna Serkali wala Siasa Imara.
 
Viongozi wao walikua busy kuny'anganya wananchi mashamba....wengine wakitengeneza mitandao ya kikabila kuongoza Nchi,ie KIAMBUU mafia....wakawa busy kupenyeza sabotage kwenye tawala za kijamaa Enzi izo Ethiopia na Sisi TZ.... ...angalia mpaka leo Serkali yao ni Changamoto...sasa hiv wako na BBI..yote hayo bi kutafuta umoja wa kitaifa ....Baaaado saana ndugu zetu.
 
ichoboy01 hivi umeona hii [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…