Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i did and i didn't see what u r saying!

yes but senate represents states there is no way there is another budget out of that figure!

Unapenda ubishi sana. How do you expect Nigeria, a country with 200 million people and Africa's biggest economy to have a budget lower than that of Kenya?
 
Naona kama tunnel esp. tokea Magogoni street itakuwa bomba zaidi ila gharama yake sasa! Mpunga mrefu si chini ya $700 mln!



View attachment 1469668
Instead of investing this money here ..i think its better wa Expand all of the ..Oysterbay/Masaki- Msasani-Mikocheni-Kawe roads to 3*3 or even 2*2 ..but 3"3 prefrable..so that all cars from Mbezi and Kawe ,Miko, Msasani and Masaki to use this bridge as a route to CBD
 
Upo short sightedness hii maneno ni level ya juu sana kwa uwelewa wako! Hiki tunachokiongelea hapa kipo kwenye Dar Urban Transport Master Plan! Hiyo sehemu ni Bay mouth Link kwenye ramani!




 
Dah aisee mbona kenya huwa imepauka hivyo,kuna jamaa kaposti picha hapo juu duh shida sijui ni camera au nini! Maana picha nyingi za nairobi huwa hivyo
 
inaonekana sasa masharti ya IMF ni kukaa lockdown miezi mitatu.. tutarajie kesho tar 6 Kenyatta akiondoa lockdown, but not sure mana cases per daily zinaongezeka kenya
Kenya kulikuwanga na lockdown? Ama lockdown got a whole new meaning nowadays?
 
Dah aisee mbona kenya huwa imepauka hivyo,kuna jamaa kaposti picha hapo juu duh shida sijui ni camera au nini! Maana picha nyingi za nairobi huwa hivyo
Cku hz nmeidharau sn kenya yn nairobi ni vumbi kushoto kulia, zikiwekwa picha za Dar humu unakuta inang'aa lkn ya Nairobi ni vumbi mtindo mmoja, wana maisha ya kijijini mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…