Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,790
Hawezi kupangiwa kazi nyengine. Mumuwe kamponza. Mumewe ni aliekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zabzibar ambae amekuwa mwiba wa mchongoma kwa CCM na serikali zakeAtapangiwa kazi nyingine?
Hawezi kupangiwa kazi nyengine. Mumuwe kamponza. Mumewe ni aliekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zabzibar ambae amekuwa mwiba wa mchongoma kwa CCM na serikali zakeAtapangiwa kazi nyingine?
Kwani mumewe anaitwa nani?Hawezi kupangiwa kazi nyengine. Mumuwe kamponza. Mumewe ni aliekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zabzibar ambae amekuwa mwiba wa mchongoma kwa CCM na serikali zake
Mumewe jina lake ni Mr Othman Masoud Othman.Kwani mumewe anaitwa nani?
CV yake tafadhali.. hiyo Dr. ni PhD au MD?Magufuli nae! anashangaza, aliona utendaji wa Batilda haufai na hili wa kwanza kuliona ni wana nchi wa Arusha pale walipo mkataa asiwe mbunge wao, na na magufuli nae kateua Anne Kilango ambae wana nchi wa Mwanga walikataa asiwe mbunge wao...viongozi wasikilizseni wananchi wakikukataa hakika hawaja kosea ina maana hufai kiutendaji..mnaitia serikali hasara za kulazimisha tu.. haya sasa nauli tu hakuna je pensheni yake atapata kweli?!