Nadhani mleta mada hayupo current ama Balozi Dr.Burian maisha yamemshinda baada ya kuamua kuishi Japan kwa gharama zake.Huoni kilichokuwa kinangojewa? Pamoja na pengine kukamilisha miamala ya awamu ya nne huko china, lakini pia kuna jambo moja hapa naliona kama linafunikafunika uhalisia fulani kwamba "UKATA". Ukata huo ulianza tu Magufuli alipokuwa raisi au umekuja sasa anapoamua kurudi nyumbani? Au alikuwa anamalizia budget?
Ni vigumu kuelewa. Kikubwa ni kwamba tangu aamuriwe kurudi alikuwa akifanya nini hadi leo karibu nusu mwaka?