Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,910
- 445
Ulielewa swali mkuu, anyway ngoja niongezee kidogo. Unaweza kututajia jina la Rais wa Japan labda.Rais anahitajika kila nchi, ila hawa mabalozi si lazima kila nchi kama japan haina balozi na shughuli zinakwennda hakuna haja ya kuhangaika kuteua wakati hela za kuwarudisha nchini hakuna