Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

Status
Not open for further replies.
Ndugu zangu hii ni vise versa, kumbe Lema ndo alikuwa anagoma kusaini matokeo, wametangaza sasa hivi kwamba Batilda ndo kashinda Arusha mjini.
 
Nimeambiwa Lowassa amefika Arusha mjini, yupo pale Manispaa. Nadhani anataka kuchakachua
 
mbona hakieleweki jamani...ni Batilda hataki kusaini au ni huyo Lema?
 
Ukweli ni kwamba ni Dk. Batilda ndiyo ataki kusign. Lakini CHADEMA wame weka kambi manispaa na CCM wameweka kambi CCM wilaya. Waki kosea tu kidogo lazima DAMU imwagike..
 
Ndugu zangu hii ni vise versa, kumbe Lema ndo alikuwa anagoma kusaini matokeo, wametangaza sasa hivi kwamba Batilda ndo kashinda Arusha mjini.

Unaumwa wewe

Join Date1st November 2010Last ActivityToday 12:09 PMAvatar
unknown.gif
 
PJ mbona kuna taarifa tata? Kama uko hapo mjini au hebu wasiliana na jamaa yako mtupe taarifa sahihi, nani haswa ameshinda!!
 
Lowasa kakimbizwa na peoples Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Watu zaidi ya elfu mbili wako manispaa toka asubuhi wanaimba kwa hamasa hadi sasa.
 
Ndugu zangu hii ni vise versa, kumbe Lema ndo alikuwa anagoma kusaini matokeo, wametangaza sasa hivi kwamba Batilda ndo kashinda Arusha mjini.

Mkuu tuko hapa kikazi zaidi wacha kuchezea akili za watu Batilda ametupwa mabli sana labda aongezewe kura za Monduli.
 
Taarifa zisizo rasmi, zinasema... Baadhi ya wazee wenye busara zao, wamefanikiwa kumshawishi Dr. Buriani kusaini matokeo, na amekubali. Kuna vuguvugu la maandamano makubwa kumpongeza Bw. Lema... uups... Mh. Lema
 
Very good Arusha inawezekana kuna wazee wenye busara kuliko wale wa dar es salaam wa Jey key.
Lazima akubali tu. Lbda wangemwacha tuone atafanyaje- kugoma, kuandamana au....
Imekula kwake
 
Very good Arusha inawezekana kuna wazee wenye busara kuliko wale wa dar es salaam wa Jey key.
Lazima akubali tu. Lbda wangemwacha tuone atafanyaje- kugoma, kuandamana au....
Imekula kwake

Lowassa naye yupo ndani ya jengo la Manispaa.
 
Taarifa nilizonazo... ni kwamba... baada ya wazee wenye busara kumshauri.. AMEKUBALI kusaini matokeo hayo.
 
Suku zote asiyekubali kushindwa si mshindani. Sioni ajabu kwa nini huyu mama anasita kusaini wakati wapiga kura wameamua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom