Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

Status
Not open for further replies.
Arusha ni kama Mara! watu hawataki ujinga kabisa! Ikibidi mshikemshike poa tu!
 
Aache usenge huyo.. Kama alitaka ashinde yeye si angehamia chadema..asilete ukuda kabisa. Nasema asaini na akikataa ashikiriwe mkono alazimishwe kusaini,, aache ukuda huyo.

Kaka taratibu, najua wewe ni mgeni JF, nakukumbusha kuwa huwa hatutumii lugha hiyo. Hata hivyo naunga mkono 100% the rest of your post kasoro hapo tu penye "red"
 
Kwa kawaida, once you contest to any election, it means you are ready to win or to lose. Nadhani Dr. Batilda akubali ukweli kwani siasa sio mwisho wa maisha.
 
Hata akikataa lazima atakua mdogo haamini akafie mbele lazima akubali tu

Nimepigiwa simu sasa hivi na mtu aliyepo Manispaa Arusha mjini anasema Batilda anakataa katakata kusaini fomu ya matokeo...Wakazi wa Arusha kwa ujumla wao wamezunguka ofisi hizo na wamejaa sana na kufunga barabara zote, hapapitiki kabisa kwa usafiri wa magari!
Nafuatilia zaidi.
 
Waliopaswa kugoma kusaini ni wapinzani maana hao ndio wenye uwezekano wa kuhujumiwa. Aende zake huko, hiyo ngoma imeshamdodea, arudi alikotoka. Mwaka huu manyapu wa mafisadi hawana nafasi, kwanza ndio walikuwa wanalitia gundu bunge letu.
 
Yuko chali nini mkuu? Asaini fasta Doctor mzima anaogopa? Si akatafute kazi zingine huyu mama vipi?

Mkuu si unajuwa wasomi wetu tena, hawataki kufanya kazi kwa profession zao tena wanataka SIASA tu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Aache usenge huyo.. Kama alitaka ashinde yeye si angehamia chadema..asilete ukuda kabisa. Nasema asaini na akikataa ashikiriwe mkono alazimishwe kusaini,, aache ukuda huyo.

Mhhhh- Matusi! Au ndiyo lugha yako? Ng'hili nini? Unajua kwa nini kagoma?
 
Jamani Arusha ni danger always wapinzani wanashinda ila matokeo yanabadilishwa, utashangaa sasa hivi Mama Batilda kashinda, naona my home town watu hawataki CCM kabisaaa...kama namuona vile dada batilda, amechinjwa nyumbani kwao kabisa?? hivi mnajua kwao Arusha SOMBETINI DARAJA MBILI!
 
Mkuu si unajuwa wasomi wetu tena, hawataki kufanya kazi kwa profession zao tena wanataka SIASA tu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kama Slaa vile!! Upadri na Siasa. Mtunza kondoo wa Mungu kama politician, ila anafaa!!!!!!!!!!!!
 
Haingii akilini kwa mama mzima kung'ang'ania ubunge kama urithi..lolz. Labda kwene 'mchakato' alienda kwa mganga akatoa makafara ya kufa mtu..si bure :whoo:
 
Nimepigiwa simu sasa hivi na mtu aliyepo Manispaa Arusha mjini anasema Batilda anakataa katakata kusaini fomu ya matokeo...

Hata asiposaini matokeo hayatabadilika hata chembe.............Hiyo ndiyo kauli ya Jaji Lewis Makame...........hatua iliyobaki kwa dada yetu ni kuripoti mahakamani tu hakuna jingine hapo.....................na huko ni hela tu wajanja wataendelea kuzitafuna mpaka kila alichochota ambacho si halali wala cha haki kitaturudia wastahili na yeye kubaki mikono mitupu.....................
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom