Bata Ubatani

Ameshapiga makelele na clouds.
Sasa hivi anakula bata mbele kwenye winter nchi za watu.
Akirudi hapa utamkuta power break fast
Clouds tv
Kariakoo na wamachinga
Kaenda kwa wauza kahawa
Ila kiuhalisia magari tu ya mwendo kasi hayana ratiba ya maana ya kukidhi watu wa kimara.
Bara bara za kuingia kwenye stendi ya Makumbusho ni jipu kubwa.
Mengine anayajua mwenyeww GSM home shopping magufuli
 
itaitwa ziara ya mafunzo
 
Hahaha!! Piga marufuku safari za nje! Mh pole sana wewe jifungie hapo kwenye magogo wenzako wanakula bata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…