Bata mzinga wakubwa kwa wadogo

Bata mzinga wakubwa kwa wadogo

ndo huyu huyu kitomari sema saivi naona kabadili jina amekuja kivingine,mimi pia nilitaka kumtumia hela nikaambiwa na wanajamvi nisijaribu kwani ni wengi ameshawaliza alitumiwa hela akajidai yupo arusha atatuma mzigo,mpaka leo bata mzinga amekuwa bata bunduki.

Kuna mdada tuko ofisi moja analalamika kuwa kuna mtu alitoa matangazo Jamii Forums kuwa anauza vifaranga alimtumia hela ya hivyo vifaranga tangu Oktoba mwaka jana mpaka leo hajamtumia. Sanasana hata simu yake hataki kuipokea. Ngoja niwasiliane nae usije kuniliza.
 
Mwaka jana kuna mtu alidai yuko Moshi na anatuma kwa kutumia magari ya magzaeti. Nikamtumia pesa baada ya hapo simu ikawa haipatikani na nilipofuatilia MPesa wakasema inaelekea hiyo namba ilishafungwa. Ninaomvba huyo anayetangaza ataupe physical adress
 
Kitomari2 ni Tapeli la kutupwa lina IDs kibao yani usije ukashoboka na bizness za humu utalia,bora uwashirikieshe Mods kabisa unamwambia kabisa natuma hela kwa mods fulani then muuzaji anaconfirm na mods after that mzigo unatumwa ukishafika mods ndio anamrushia fedha muuzaji kinyume na hapo maumivu kitomari2 ana mbinu nyingi si umeona kwenye hii sredi anavyojifanya mnunuzi wakati huo huo ni muuzaji.
 
Duh! Jamaa ni Jasusi nini sababu anazo mbinu zote za ushawishi yani amejipigia promo la nguvu kisirisiri mara hivi mara vile kumbe anajipambanua mwenyewe maboya waingie kingi.

sasa amekuja kuwakamata makuruta wake kila mtu hoi .... mara nimetapeliwa laki duh! mambo ni vululuvululu sasa naomba huyu chagonja awe anashughulikia watu wa aina hii na sio chadema kutwa kuchwa.

jamaa ni potential scammer wa third world country grade.
 
alafu anajijibu na kujikosoa mwenyewe... daaaah ni shiiiida
Jamaa kama kipaji anacho! si mchezo!

Ukisoma post zake anavyojijibu huwez amini kama ni single person! dah...

Sasa inabidi aitwe vitomari.. maana viko vingi kweli kweli!
 
Tawary, nade, POUTRY FARM, Kitomary2

Duh, poleni mliotapeliwa na inaonekana kashawapiga wengi kwa ID tofauti. Ukimstukia huku anageuka ukijumlisha na sifa anazojipa. Huyu culboy hakupaswa kuachwa hivihivi aisee maana hajaharibu fedha tu za wahusika but na mipango na matarajio yao...
 
Last edited by a moderator:
someone is messing with my jf username and password.
1 MIMI SI KITOMARI YOYOTE SIO 1,2,3,..............,

2.SIJAWAHI KUPOKEA FEDHA YA MTU YOYOTE YULE NLIEFAHAMIANA NAE KUPITIA JAMII FORUMS KUFANYA NAE BIASHARA,

3. HUYO KITOMARI SIMFAHAMU

4. SIFANYI BIASHARA YA KUKU NA BATA, MI NI MUAJIRIWA

5. KUNA WATU WALI NI PM KUTAKA KUFANYA BIASHARA NA MIMI NILIKATAA KUA MIMI SIO KITOMARI ningekua kitomari au nna uhusiano nae nisingewakatalia.

6. NILIWAHI KUISHI ARUSHA KIPINDI CHA NYUMA LAKINI SIISHI ARUSHA KWA SASA

JAMANI CULBOY SIO KITOMARI WALA HAJAWAHI KUWA KITOMARI
 
Wewe sio kitomar kweli? coz namba simu iliyopo kwenye uzi ni kama ya kitomari. na kama ni wewe nirudishie ile hela niliyokututumia ya bata bukini (mwaka na nusu umepita sasa)

0757 662 401 namba ya kitomari hiyo. yuko hewani 24/7.
 
someone is messing with my jf username and password.
1 MIMI SI KITOMARI YOYOTE SIO 1,2,3,..............,

2.SIJAWAHI KUPOKEA FEDHA YA MTU YOYOTE YULE NLIEFAHAMIANA NAE KUPITIA JAMII FORUMS KUFANYA NAE BIASHARA,

3. HUYO KITOMARI SIMFAHAMU

4. SIFANYI BIASHARA YA KUKU NA BATA, MI NI MUAJIRIWA

5. KUNA WATU WALI NI PM KUTAKA KUFANYA BIASHARA NA MIMI NILIKATAA KUA MIMI SIO KITOMARI ningekua kitomari au nna uhusiano nae nisingewakatalia.

6. NILIWAHI KUISHI ARUSHA KIPINDI CHA NYUMA LAKINI SIISHI ARUSHA KWA SASA

JAMANI CULBOY SIO KITOMARI WALA HAJAWAHI KUWA KITOMARI

0757 662 401 namba ya kitomari hiyo. yuko hewani 24/7. na ndio wewe mwenyewe mwizi mkubwa wewe.
 
HIYO SIYO NAMBA YANGU YA SIMU wala sijawahi kuwa na namba kama hiyo, kilichotokea ni kuwa account yangu ya jamiiforums ilikua merged na account nyingine( sijui kama bado iko merged au vipi kwa sasa).

nime andika complains nyingi kwa mods kuhusu hilo but cdhani kama limesharekebishwa, wapo watu wali ni PM kuhusu hayo mambo ya vifaranga sijui na mayai ila niliwajibu mimi sio kitomari na sina biashara kama hizo wakaelewa
hapo ndo nilipoanza kustuka kwamba account yangu imeingiliwa na mtu anaeitwa kitomari, sijawahi kufanya biashara na mtu yoyote wa jamii forums.

JAMANI MIMI SIO KITOMARI
 
you are a criminal ... full stop
 
Hizi biashara za kusema nipo sehemu furani out of dsm nimeacha kuziamini coz unaambiwa tuma hera nikutumie mzigo then ukituma hera tu anaingia mitini.
Sijasema ww ni tapeli bali ni mtazamo wangu tu bt haya yote ni matunda ya kitomali na wenzie wachache waliokosa uaminifu.
 
you are very wrong, i am not a criminal and never was i.

do you know me out of jamii forums?

don't judge me as if you know me while you don't have clue of who i am.
 
Back
Top Bottom