Bata mzinga wakubwa kwa wadogo

Bata mzinga wakubwa kwa wadogo

hawa wako wanakua na mda ghani kufkia kuchinjwa na kutaga?

bata mzinga ukamlisha vizuri bwana poutry ni miezi 5 kuanza kutaga pia kuna rangi ambazo huwa na nyama nyingi mweupe huwa mrefu saana ila sio mnene kama mweusi
 
Hivi tawary bata mzinga anaeza ishi mda ghani?
 
bata mzinga ukamlisha vizuri bwana poutry ni miezi 5 kuanza kutaga pia kuna rangi ambazo huwa na nyama nyingi mweupe huwa mrefu saana ila sio mnene kama mweusi

kwa utaalamu wako ni vitu ghani naeza kuwapa wakakua mapema mana nimevutiwa sana na hawa bata ukuaji wao natakarajia kua mjasiriamali mkubwa
 
uwalishe tu broiler stater kwa miezi 3 wa 4 uwape Growers mash na majani yanaitwa lussein watakua mapema sana
 
daaah! Lusein mbegu yake iko wapi ndugu
 
mi nauza bata mzinga dume 70000 na jike 60000
wapo vikindu namba 0755 454829 .karibu
 
bata mzinga ukamlisha vizuri bwana poutry ni miezi 5 kuanza kutaga pia kuna rangi ambazo huwa na nyama nyingi mweupe huwa mrefu saana ila sio mnene kama mweusi

mda mzuri kula bata ni miezi 12 anakuwa amekomaa moezi 5 ni mkubwa kwa umbo but a
nakuwa hajakomaa vizuri
 
ukiwalisha vizuri wanakua teari bata wakula hatakiwi kukomaa sana ndio maana wanaagizwa nje ya nchi bata wa miezi mi4 bado huwa mlaini
 
Soko lake kubwa ni wapi sana sana
 
uwalishe tu broiler stater kwa miezi 3 wa 4 uwape Growers mash na majani yanaitwa lussein watakua mapema sana

Mkuu tawary

Naomba unisaidie upatikanaji wa mbegu ya majani ya luseni tafadhali
 
Luseni ipo nilipofugia arusha ilikua inapatikana km chuo cha mifugo tengeru mingi tu
 
ndugu tawary na mimi nahitaji hii mbegu ya haya majani ya lusseni/alfalfa

je inauzwaje?
 
ni majani mazuri sana kwa kuku na pia bata hata kwa kuku wanaotaga mayai ya kisasa huyafanya kuwa njano kabsa
 
ndugu, nisaidie jinsi ya kupata mbegu zake au unielekeze mahali mbegu zinapouzwa

Natanguliza shukrani
 
ok! Nitakutafutia shaka ondoa nadhani hata kitomari anajua pakuyapatia haya majani kule arusha ni mengi sana
 
Hawa bata watu wa afrika mangaribi wanafuga kwa wingi saana na wanafugwa na wanawapatia kipato cha kutosha kwanini sisi hatujaribu wakwetu wa kula wanatoka nje ya nchi wastoke hapa kwe2
 
Hatupendani asilimia kubwa pia hatupendi kujishughulisha
 
ok kumbe da mi nimezoea kuyafuga kienyeji yanatafuta chakula kama majani ,safi kama unawalisha vyakula vya kisasa miezi 5 unakula coz yanakuwa haraka nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom