Bata mzinga wakubwa kwa wadogo

Bata mzinga wakubwa kwa wadogo

nnaposema account yangu ya jamiiforums imekua merged na account nyingine huelewi nini msemakweli2?
 
hili ni jizi mimi nalifahamu sana hakuna kuamini kijinga jinga hapa.
 
nna uhakika kwamba hunifahamu hata kidogo labda unamfaham kitomari2 na sio mimi.

jamani namba ya simu ya huyo kitomari2 si mnayo? uthibitisho wa meseji za kutuma pesa zenu si upo? na wengine mnamfahamu kitomari2? mkamateni na mfikishe mahala panapohusika sio mnakurupuka na kuita watu msiowafahamu matapeli.
 
Hahaha alikuwa anajijibu mwenyewe. . ..ha ha
 
nna uhakika kwamba hunifahamu hata kidogo labda unamfaham kitomari2 na sio mimi.

jamani namba ya simu ya huyo kitomari2 si mnayo? uthibitisho wa meseji za kutuma pesa zenu si upo? na wengine mnamfahamu kitomari2? mkamateni na mfikishe mahala panapohusika sio mnakurupuka na kuita watu msiowafahamu matapeli.

Wewe ni jizi!
 
Back
Top Bottom