Bata mzinga wakubwa kwa wadogo

Bata mzinga wakubwa kwa wadogo

niko vikindu mbele ya kongowe ni makubwa rafiki nahis yanavuka kilo 11 madume
 
uwalishe tu broiler stater kwa miezi 3 wa 4 uwape Growers mash na majani yanaitwa lussein watakua mapema sana

nitakuomba unisaidie kutafuta mbegu ya lusseni plz
 
QUOTE=kitomari2;7238894]hakuna mheshimiwa

Kuna mdada tuko ofisi moja analalamika kuwa kuna mtu alitoa matangazo Jamii Forums kuwa anauza vifaranga alimtumia hela ya hivyo vifaranga tangu Oktoba mwaka jana mpaka leo hajapata vifaranga anaambulia hadithi. Kwa sasa hata simu yake hataki kuipokea. Ngoja niwasiliane nae usije kuniliza.[/QUOTE]

Kwa akili za kawaida, unatumaje hela wakati mtu humujui wala hujui hata biashara yake iko wapi? Nafikiri watanzania sasa tujifunze kuwa makini
 
ok kumbe da mi nimezoea kuyafuga kienyeji yanatafuta chakula kama majani ,safi kama unawalisha vyakula vya kisasa miezi 5 unakula coz yanakuwa haraka nimekuelewa mkuu

fuga kibiashara bwana usifuge kwa ,mazoea
 
natamani kufuga hii kitu mno soko mana soko liko poa sana

mahitaji ya soko nade nimakubwa mno inategemea tu na bidhaa yako ikoje nzuri walishe bata wako tu vyema kama nilivyokwambia
 
mahitaji ya soko nade nimakubwa mno inategemea tu na bidhaa yako ikoje nzuri walishe bata wako tu vyema kama nilivyokwambia

pia nchi yetu inawatalii wengi mno kg 1 ya hii kitu ni gali mno nad tatzo letu tunakosea tu kwenye lishe sana sana
 
mahitaji ya soko nade nimakubwa mno inategemea tu na bidhaa yako ikoje nzuri walishe bata wako tu vyema kama nilivyokwambia

pia mheshimiwa tawari niambie kuusu soko la bata bukini mana ni bata walonivutia sana pia
 
Kuna mdada tuko ofisi moja analalamika kuwa kuna mtu alitoa matangazo Jamii Forums kuwa anauza vifaranga alimtumia hela ya hivyo vifaranga tangu Oktoba mwaka jana mpaka leo hajapata vifaranga anaambulia hadithi. Kwa sasa hata simu yake hataki kuipokea. Ngoja niwasiliane nae usije kuniliza.

Kwa akili za kawaida, unatumaje hela wakati mtu humujui wala hujui hata biashara yake iko wapi? Nafikiri watanzania sasa tujifunze kuwa makini[/QUOTE]

Huyo ni tapeli na si mjasiriamali. Kwa kawaida JF hatuumizani, tunaaminiana, tunaheshimiana, tunapendana na tunashirikishana kwa uwazi. Mtu huyo anapaswa kuwa exposed ili asifanyie watu wengine.
 
Pata bata mzinga wakubwa kwa wadogo wanaokua na uwezo wakua na mpka kg 15 pia bata mzinga ni pambo nzuri la nyumbani kwa mawasiliano 0757- 662401
Wewe sio kitomar kweli? coz namba simu iliyopo kwenye uzi ni kama ya kitomari. na kama ni wewe nirudishie ile hela niliyokututumia ya bata bukini (mwaka na nusu umepita sasa)
 
Dah!! Yaani mtu mmoja ana Id tano na zote zinatumika kwenye uzi mmoja!

Mara ajiombe namba ya simu,Mara ajidiss mwenyewe.

Vurugu tupu....
 
Back
Top Bottom