Nimefanya utafiti wangu kwenye shopprite kubwa kubwa arusha daresalam karibuni zote nyama ya hawa bata inauzwa ghali sana na inatoka nje sio kwetu kwanini tusizalishe sisi hapa kwetu

nachojua nade hatupendelei kua wabunifu kabsa mwaka 2008 niliishi arusha nikapeleka hii kitu hoteli moja niliuza elfu 16 kwa kg 1 kuna haja ghani ya kufuga hata kuku bahati mbaya niliamishiwa dar nasasa nimerudia tena kufuga nilichukua mbegu kwa mr kitomari

Pata bata mzinga wakubwa kwa wadogo wanaokua na uwezo wakua na mpka kg 15 pia bata mzinga ni pambo nzuri la nyumbani kwa mawasiliano 0757- 662401
hakuna mheshimiwa