Ndugu wana jf wote kuna mtajwa hapo ni jamaa wa arusha ni tapeli sec anatumia namba za simu tofauti tofauti na kwenye matangazo kwenye fb,local promo baada ya kuona jf kimenuka.nimeona ameandika anauza bata ,kuku ,na mengineo..namba yake ni hii na anazo nyingine km tano please wafugaji wenzangu kueni macho..namba zake 0757662401
dated
17/10/2015