Bwana Kitomari, nashukuru kwa maelezo. Kuna wakati nitataka bata maji, si bata bukini. naamini hao unao. kwa hapa Dar nami nauza madume makubwa ya bata mzinga 150,000.00 na mayai ya bata mzinga 5,000.00 mayai ya kanga weupe 1,000,00, kanga weupe wakubwa wanaotaga 35,000.00 (yanapatikana madume na majike), majogoo makubwa ya kuku chotara 20,000.00