Hupo mji gani mdau?miezi 2 elifu 25 miezi 3 elifu 30
Pata bata mzinga wenye kukua haraka na wenye kuvumilia magonjwa pia wanauwezo wa kua mpk na kg 15 bata bukini wanapatikana karibu 0757662401
"Upo"Hupo mji gani mdau?
Huyu kitomari namkubali sana anauza vitu vya ukweli na bei nzuri. Mwaka jana nilinunua bata mzinga wawili na akanisafirishia bure kutoka Arusha hadi Dar. Mkuu nitakutafuta nahitaji wengine wawili.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums