Muda wa bata una tabia ya kukimbia sana๐ฅโ๐๐ฟโโ, alafu Jumatatu inawahi kufika kama ilikuwa inavizia kona.
Kile kipindi cha kuanza kuwaza alarm ya asubuhi, nguo za kuvaa,
na foleni au majukumu ya kazini na chuo ndio hiki hapa๐ญ.
Ile furaha ya wikendi inayeyuka ghafla!๐ ๐๐ฟโโ๏ธโ๐ฅ