Bastola ya Aden Rage na CCM

Sasa huyu ataweza kweli kusimama na kusema hii ni nchi yenye amani na utulivu?
 
Rage asili yake Somalia kubeba silaha kama bastola hadharani ni jambo dogo sana mnaomshangaa hamjui historia ya wasomali.Isitoshe Rage aliwahi kufungwa kwa kosa la wizi lakini wananchi wa jimbo la Tabora wakaona vyema wamwingize mjengoni hapo lazima ushangae watu wazima na akili zao wameshindwa hata kuchagua mwakilishi mwadilifu.

Tanzania ina kila sababu ya kuendelea kuogelea kwenye dimbwi la umaskini kwasababu wananchi hawajui tofauti ya viongozi waadilifu na viongozi majambazi.
 
Mara hii mmesahau ya mtoto wa Ilala Hayati Ditto, ndo zao wanamagamba kutishia raia kama si kuua kabisa
 
Kwani Rage haswa ni Raia wa wapi? Ni asili yake hiyo...................
 
Kwenye moja la gazeti la leo kuna picha ya mh.aden rage mb.wa tabora mjini akionekana ana bastola amehifadhi ktk mavazi yake.wakati akipanda jukwaani kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni huko igunga

kwa kweli hata kama kuna tofauti za kisiasa lkn watanzania nadiriki kusema 100% hatujafikia mahali pa kutaka kutishiana kwa kwa silaha za moto kama mh.rage anavyotaka kutuaminisha.
Igunga sio tripoli au mogadishu.hata kama anamiliki bastola kwa ajili ya kujilinde yeye mwenyewe basi alikuwa ana haja gani ya kutuonyesha the public.
Binafsi kama mtanzania mpenda amani sijafurahia hata kidogo kitendo hicho sijui wana jf wenzangu.nawakilisha
 
Hii ni Mbinu nyingine tena ya kitoto ya kujaribu kuwatoa CDM kwenye mada. Ile ya DC ilifaulu kwa kiasi, lakini hii ya huyu Muraa imechelewa. CDM, msikubali kupoteza hata dakika yenu moja kuupa attention huu upuuzi. It is too cheap! Songeni mbele bila hofu kwa hoja za viwango, mkiwaonyesha wana Igunga dhamira thabit ya kuwakomboa kutoka katika masaburi ya magamba.
 
Angekuwa Wenje au Lema kwenye kampeni za CHADEMA ingekuwa vipi?
 
Kuwa na silaha kwenye mikusanyiko ya watu ni kosa na hatari. Maana hata kama mwenye silaha hiyo hataitumia anaweza kunyang'anywa na mtu mwingine na kuitumia kwa uhalifu. Nashangaa kwa nini polisi hawakumchukulia hatua. Ninaamini angekuwa mpinzani angeshughulikiwa ipasavyo na suala kuvaliwa njuga kisiasa. Hata hivyo, siku zao hao zinahesabika.
 
Somehow sikubaliani na wewe. Mambo mengine inabidi utumie akili ya kuzaliwa. Whether anaruhisiwa kisheria kubeba silaha au la huwezi kuonyesha umati bastola hivi hivi unless una nia ya kuwatia woga. Sidhani kama usalama ulikuwa mdogo kumfanya aonyeshe silaha yake hadharani. He's trying to prove something to Chadema kuwa they are in his turf.

Nina imani na wananchi wa Igunga watafanya maamuzi ya busara kama wananchi wa Zambia walivyofanya.


 
Kwa nini anachaguliwa sana kila anakogombea?
Huyo msomali ni alshabaab,ndio maana hafuati sheria,silaha haipaswi kuonyeshwa kwenye public na haruhusiwi kuwa na silaha kwenye mkusanyiko,serikali legelege ya CCM na chama mfu ndio wanaweza kuruhusu vitu kama hivi,kwa hiyo anaonyesha yuko tayari kuua wakati wowote
 
Inanikumbusha novel moja ya James Hadley Chase " the Guilty are afraid"
 
tatizo la watanzania ni hili-KWA NINI MTU AKIPEWA URAIA WA NCHI HII INAPOKUJA KAFANYA JAMBO BAYA ANAITWA KWA URAIA WA NCHI ALIYOTOKA,SI ALIKUBALIWA KUWA RAIA WA TANZANIA BASI AHUKUMIWE KAMA MTANZANIA..NCHI ZA ULAYA WAKIKUPA URAIA HATA KAMA UKIUWA WATAKUHUKUMU KAMA RAIA WAO NA SIO VINGINE TUPUNGUZENI JAZBA NA HIZI KAULI ZA MUHINDI,MSOMALI,MWARABU TUPUNGUZE KAMA NI RAIA WAHUKUMIWE KAMA RAIA WA TZ...KUHUSU CHUMA CHAKE KAMA KAFATA SHERIA HALALI YAKE ATEMBEE NACHO MAANA YA BASTOLA NI KUJILINDA KWA KUWA WENGI HAWAJAHI KUIONA BASI INAKUWA ISSUE-TUPENI SHERIA ZA UMILIKI WA BASTOLA --
 
Angekuwa Wenje au Lema kwenye kampeni za CHADEMA ingekuwa vipi?
Wangebebwa juu juu swekwa rumande hadi jumanne dhamana,waambie basi hao ndugu zako wanajidhalirisha jinsi wanavyovunja sheria
 
Kwa sababu pamoja na kupewa uraia wamebaki kuwa close community ndio maana watu hawawaoni kama wenzetu wataitwa kwa usomali,uhindi,uaarabu wao mpaka wao watakapo jiona ni sehemu ya wananchi period
 

CCM ni mfano mzuri ya wale wanaojifanya wanalilia amani huku wana mapanga kwapani, kimsingi CCM na wadau wake ndio chanzo cha vurugu nchini. mambo wanayotufanyia wananchi ni kielelezo tosha kuwa wanapambana kutupeleka kwenye uvunjifu wa amani, labda ndio maana Rage ameanza kujihami kwa kuzunguka na bastola kiunoni, Rage ni mfano tu na ameamua kujipambanua hivyo mbele ya kadamnasi huku mtaani wanasiasa wengi Uchwara wanazunguka na Bastola, kwani mmemsahau Ditopile???kimsingi ni tabia yao.
 

Jamii za kisomali kama hizi zitatuletea matatizo sana hapa tz,maana wameshindwa kuishi kwao somalia,sasa wanataka kuleta instability huku kwetu,
huyu nae hashindwi kuleta mercenaries kutoka hapo somalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…