Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo? CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..
Wanajihami bwana , Kama watu wanamwagiwa tindikali na wengine kuchomewa nyumba ni lazima kujihami manake muda wowote unaweza kuvamiwa hata jukwaani si unajua tena kauli mbiu ya HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKENimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo? CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..
Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo? CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..
Usiwe nabii. au unaandaa mazingira ya kukataa matokeo? waacheni wenyewe wana igunga ndo wanajua nani anafaa kwa maenedeleo yao na hapo Uchadema na Uccm utajitenganahisi ya zambia ndio yatatokea igunga..
Hakika. Unajua watanzania wanajua na wanaweza kupembua mchele na Pumba. Vitisho vya hakuna kulala mpaka kieleweke, Nguvu ya Umma ndo inapelekea yote hayo. Jamaa yetu FREEMANSONY atakosa kweli paja la kuku? kapata mbabe mwenzakeMabaunsa wasogee sasa!! Rage ni mtoto wa SAIGON sasa anafanya advertise ili kama kuna baunsa alikuwa anataka kusogea hapo ajue kwamba jamaa yupo fit.
Hiyo bastola itaanza kumshughulikia yeye mwenyewe na mabwana zake.
Ni gazeti gani hilo mkuu nikalinunue sasa hivi?
Laiti wakati wa kujiunga JF kungekuwa na usaili wengi tungewekwa kando!Hawa ndiyo watanzania wanaojiita great thinkers kweli? matusi ya nini sasa ? ebu tujenge taifa kwa kutoa michango yenye matinki , wewe bora utoke hautufai humu