Basi zuri kutoka Dar kwenda Mbeya

Basi zuri kutoka Dar kwenda Mbeya

imani itakuwa kati ya 35 - 40, wakati sauli ni 40 - 45. sauli mabasi yake yote ni scania mpyaa toka uswiss na Benz za ujerumani, wakati Imani ni mchina.
Nitapanda sauli ili nifike uyole kwenye 12 iyo then ninyooshe mbalizi, au kuna ile sauli naionaga nadhan inaenda tunduma au nimekosea
 
Nitapanda sauli ili nifike uyole kwenye 12 iyo then ninyooshe mbalizi, au kuna ile sauli naionaga nadhan inaenda tunduma au nimekosea
kuna sauli ya Tunduma, utashushwa palepale mbalizi. sijui kama siku hizi watakuwa wamesitisha, ila ilikuwepo.
 
Tanzania hatuna luxuries bus nenda kapande ndege bana lodge inkwezulu ipo eneo la soweto
 
Nitapanda sauli ili nifike uyole kwenye 12 iyo then ninyooshe mbalizi, au kuna ile sauli naionaga nadhan inaenda tunduma au nimekosea
Sasa hivi Mbeya wanafika kuanzia saa moja kamili na kuendelea. Hakuna gari inayoingia saa 12 jioni. Pia hao Sauli wana gari ya Tunduma na gari zao zinaanzia Urafiki pale.
 
Kesho naondoka wakuu ila Mbeya eneo nililofikia ni patam sana sema kule Soweto airport na kwingine serikali iendelee kujitahidi ,kitu nilikuwa sijui ni kwamba mbeya kuna miinuko hatari na hakuna mbu kifupi ni rahisi sana kuwa na afya bora ukiwa mbeya
IMG_20211223_161804.jpg
 
Habari ndugu zangu wanajamiiforum napenda kuuliza je ni kampuni gani yenye bus zuri kutoka dar kwenda Mbeya na linafika Mbeya muda gani.

Ningependa kujua lodge nzuri pia kwa ajili ya malazi ya usiku mmoja 25000-30000 pawe na utulivu
Bus: SAULI
Lodge: Subiri
 
Kesho naondoka wakuu ila Mbeya eneo nililofikia ni patam sana sema kule Soweto airport na kwingine serikali iendelee kujitahidi ,kitu nilikuwa sijui ni kwamba mbeya kuna miinuko hatari na hakuna mbu kifupi ni rahisi sana kuwa na afya bora ukiwa mbeyaView attachment 2054837
Hapo siyo Bonaki hotel? Nadhani nililala hotel hiyo nilipopita Mbeya.
 
Back
Top Bottom