fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,689
- 24,013
Panda Dar Laxuary au Kilimanjaro Exp zote nauli ni 44k hutajuta kwa huduma bora kabisa. Unaweza kukata hata kwa internet service bila kupoteza muda wa kwenda ofisini kwa Shekirango. Ningejua unaelekea Mbeya sehemu gani ingekuwa rahisi kukwambia either ushukie UYOLE, NANENANE au Mbeya town centre (UHINDINI) na kukuelekeza lodges za ukweli that will satisfy your soul for a night over.



