hotel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 332
- 325
Jamaa ana wivu wa kike haoni hata bei yao tofauti lakini bado wanapeta na wanajaza daily.Sema sipandi mm,, wenzako inajaza na zinaondoka mbili na kurudi mbili na nauli ni 44,000/=
Mwacheni wivu jamani!!!!

