Basi zuri kutoka Dar kwenda Mbeya

Basi zuri kutoka Dar kwenda Mbeya

Habari ndugu zangu wanajamiiforum napenda kuuliza je ni kampuni gani yenye bus zuri kutoka dar kwenda Mbeya na linafika Mbeya muda gani.

Ningependa kujua lodge nzuri pia kwa ajili ya malazi ya usiku mmoja 25000-30000 pawe na utulivu
we jamaa ina maana hujawahi hata kusikia tu kwenye mitandao kitu inaitwa "sauli", au unafanya utani. wazee wa scania brand new na benz.
 
Sauli nauli ni 44000
ila hawa jamaa jana yake usinywe sana maji kwasababu wanasimama maeneo machache sana, unaweza kubana mkojo toka morogoro hadi Mafinga. wazee hawapandi, na hata wakatisha tiketi wakiona mzee kama anaonekana ana kisukari fulani wanasema ticket zimeisha kwasababu hawataki kusimamasimama njiani, na hiyo ndio inawafanya wawahi kufika. saa 18:30 wapo uyole. wakati wengine wanafika saa mbili usiku.
 
Luxury yake ikoje hasa ndani?sifa za sauli nasikia ni mwendo kasi kwangu sio poa na je nauli yao kiasi gani na ofisi ziko wapi ukiondoa kule magufuli?
Unataka kusafiri au mashauzi tu. Mkiwa kwenye key board mnajifanya matawi ya juu kumbe upuzi tu.

Unaulizia lodge/quest ya 25-30 elfu badala ya kuuliza hoteli ya laki 1 na kuendelea???

We ni muuza chips fulani hivi inaonyesha.
 
Unataka kusafiri au mashauzi tu. Mkiwa kwenye key board mnajifanya matawi ya juu kumbe upuzi tu.

Unaulizia lodge/quest ya 25-30 elfu badala ya kuuliza ya laki 1 na kuendelea???

We ni muuza chips fulani hivi inaonyesha.
mzee, tunaishi duniani watu wa sampuli tofauti, levels tofauti, na uwezo tofauti. trust me, majority ya watu waliopo humu jf, wengi wakisafiri wanalala lodge za 20 - 30. hao ni middle class wa Kitanzania (sio wa ulaya). binafsi nikisafiri nalala lodge za kiwango hicho.
 
We fala unaona wauza chips hawana kuliko we unapelekewa moto sio?kenge maji mkosa akili nilale guest ya laki ili iweje na nigundue kima kabisa
 
mzee, tunaishi duniani watu wa sampuli tofauti, levels tofauti, na uwezo tofauti. trust me, majority ya watu waliopo humu jf, wengi wakisafiri wanalala lodge za 20 - 30. hao ni middle class wa Kitanzania (sio wa ulaya). binafsi nikisafiri nalala lodge za kiwango hicho.
Achana na pimbi huyo nimependa Imani nimefika na nimelala hapa kwa 20 na yes ni very fine na kesho nafanya mambo yangu bila shida
 
Unataka kusafiri au mashauzi tu. Mkiwa kwenye key board mnajifanya matawi ya juu kumbe upuzi tu.

Unaulizia lodge/quest ya 25-30 elfu badala ya kuuliza ya laki 1 na kuendelea???

We ni muuza chips fulani hivi inaonyesha.
Afu huwa hakuna logde ya laki hiyo labda ni hotel we pungaone kama ulilala lodge ya laki ujue b*sha wako na we mlipigwa
 
Unataka kusafiri au mashauzi tu. Mkiwa kwenye key board mnajifanya matawi ya juu kumbe upuzi tu.

Unaulizia lodge/quest ya 25-30 elfu badala ya kuuliza ya laki 1 na kuendelea???

We ni muuza chips fulani hivi inaonyesha.
Hakuna lodge ya laki moja.Tofautisha lodge na hotel
 
Panda sumri wewe! kula ni sehemu poa sana na chakula kizuri! wanafikia kwa hotel zao! na ni nzuri mno kula na kulala!
 
Niko mbeya boss jamaa wana mji msafi na hewa poa sana sa sijui hii ni kazi ya sugu au tulia ila mko poa
Kwa usafi hapo big no,
But kwa khali ya hewa safi nyanda za juu kuko pouwa sana.
 
Kwa usafi hapo big no,
But kwa khali ya hewa safi nyanda za juu kuko pouwa sana.
Mkuu big no kwa nini nimelala maeneo ya stand kule karibu na jengo la nhif kisha nimerudi nimekuja huku mbalizi mbona kote ni kusafi au uchafu uko wapi
 
Na Jana nimetokea nane nane hadi stand kuu wanajitahidi aisee na mtandao wa rami ni mkubwa
 
Back
Top Bottom