Basi za Abood na FFU kibao Ferry ya kwenda Zanzibar

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,518
6,505
Leo nimeona basi za Abood na malori kadhaa ya polisi yakishusha FFU kibao pale ferry ya abiria kwenda znz. Oh nimebaki na maswali mengi kwa kichwa yangu. Au ndio wale Mbowe alihoji bungeni kuwa eti huwa wanaenda special for voting in favour of magamba there there in znz!?
 
Wanaenda kulinda usalama huko Zanzibar, kwa ajili ya uchaguzi wao
 
Leo nimeona basi za Abood na malori kadhaa ya polisi yakishusha FFU kibao pale ferry ya abiria kwenda znz. Oh nimebaki na maswali mengi kwa kichwa yangu. Au ndio wale Mbowe alihoji bungeni kuwa eti huwa wanaenda special for voting in favour of magamba there there in znz!?

Hao watakua wanaenda field Z'bar (mafunzo kwa vitendo)
 
Leo nimeona basi za Abood na malori kadhaa ya polisi yakishusha FFU kibao pale ferry ya abiria kwenda znz. Oh nimebaki na maswali mengi kwa kichwa yangu. Au ndio wale Mbowe alihoji bungeni kuwa eti huwa wanaenda special for voting in favour of magamba there there in znz!?
Usiwape hofu watu, kama umewaona leo hii basi wanaenda kwa ajili ya valentine day ambayo ni kesho

Hakuna jambo lingine zaidi
 
Yale magari miasaba yako wapi?...
Hayakufanya kazi....
Hofu ni kitu kibaya na hasa kama hujiamini...askari na magari yanini?...kama wakati ule magari 700
 
Nasikia mmeweka mgomo wa kuandamana huku bara
Sasa wameenda kufanya kazi Zanzibar
 
Leo nimeona basi za Abood na malori kadhaa ya polisi yakishusha FFU kibao pale ferry ya abiria kwenda znz. Oh nimebaki na maswali mengi kwa kichwa yangu. Au ndio wale Mbowe alihoji bungeni kuwa eti huwa wanaenda special for voting in favour of magamba there there in znz!?
Si ungewauliza.
 
Aisee Mkuu!
Hao ndo mazombi wenyewe wanaenda kuanzisha vurugu Zanzibar!
Mungu anawaona lakini...!
 
Wanaenda kwenye kozi ya ukoplo mkuu usiwe na hofu.

Kuhusu uchaguzi CCM itashinda kwa sababu CUF hawagombei kwahiyo hakuna haja ya kupeleka askari kupiga kura kama ilivyokuwa inafanyika miaka ya nyuma.
 
Weka picha mkuu tupate ushahidi wa alichokisema Mbowe bungeni
 
Weka picha mkuu tupate ushahidi wa alichokisema Mbowe bungeni
Yaani niwapige picha FFU, sijipendi. Na walikuwa makini kweli kuangaza huko na huko. Nilifikiria hilo lakini nikaona hatari. Lakini walio ferry ya abiria wanaweza thibitisha hili nilisemalo.
 
Nafikiri ingekua mimi ndio Mkuu wa nchi ya Tanzania ningepeleka na vikosi vya JWTZ halafu wakishajipanga vyema ningetoa amri Matokeo ya Uchaguzi wa OCTOBER 25 2015 yatangazwe rasmi na mshindi aapishwe ili awe rais na mwingine awe makamu. Vikosi hivi vingetunika kuhakikisha kuwa CUF hawashangilii na pia CCM hawafanyi vurugu. Pia kuhakikisha kuwa Maalim Seif analinda katiba ya Zanzibar na kulinda Muungano.
Hapa ningekua nimeokoa damu za wazanzibar ,amani ya nchi,umoja na mshikamano wa wananchi wa Zanzibar na Kuokoa Bil. 7 na kusomesha walimu wa Chekechea wa somo la kiingereza.

Kupeleka vikosi vya majeshi kwa ajili ya kusimamia uchaguzi ni jambo ambalo nisingelifanya kwani uchaguzi wote wa Tanganyika na Zanzibar ulifanyika kwa uhuru na amani na siku zote uchaguzi wa Zanzibar unahitimishwa kwa maridhiano ili amani iendelee.
 
Back
Top Bottom