Basi lauwa abiria wote 68 Vikindu likielekea Mtwara

Status
Not open for further replies.

Mkwawa

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,334
1,464
Kuna habari zisizo na uhakika kwamba kuna basi limepata ajali mitaa ya Vikindu Mkuranga na kuuwa abiria wote.
 
Hizo taarifa umezipata usiku huu kwa basi liendalo Mtwara...!!!

Na Vikindu ni hapo mbele tu, nafikiri hii bado ni tetesi maana Vikindu ni karibu sana na Dar taarifa zingelikuwa zimesambaa tayari....
 
Abiria wote!!!!!! Hii tetesi itakuwa haiko sawa. inawezekana kuna ajali lakini si kuua watu wote. Ikiwa kweli basi itakuwa mara ya kwanza ktk maisha yangu kusikia kitu kama hicho. Na mzaha wa serikali na madereva utakuwa umezidi kipimo.
 
Ndio maana inakuwa tetesi habari ambayo haina uhakika na chanzo hakiaminiki! ila nikaona JF ni dunia nzima.
 
Nimesikia hiyo tetesi pia.. Cha Ajabu eti imegongana na bajaj na dereva wa bajaj yu hai ila abiria wote wamefariki. Ngoja tutasubiri ithibitisho
 
hata wangekuwa abiria wawili na majeruhi 66 .... hivi wanaovunjika mkono, miguu, na wengine kupata vilema vya kudumu ni nani anaejali familia zao baada ya hapo....hii ni habari mbaya sana kuelekea mwisho wa mwaka, katika kipindi ambacho zimeshatokea ajali zaidi ya 15 kwa kipindi cha miezi minne... maana yake hatuna la kujifunza wala ---kuwajibika.so sad... mungu baba wajalie subira waja wako.
 
Hizo taarifa umezipata usiku huu kwa basi liendalo Mtwara...!!!

Na Vikindu ni hapo mbele tu, nafikiri hii bado ni tetesi maana Vikindu ni karibu sana na Dar taarifa zingelikuwa zimesambaa tayari....

Nadhani ni tetesi tu mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom