Basi la Kampuni ya Alfa lapata ajali

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
525
1,187
Basi ilo linalofanya safari zake kutoka Mwanza kuja Dar es Salaam limepata ajali maeneo ya chalinze.

Chanzo cha ajali ni basi ni dereva wa basi hilo kulipita gari jingine bila ya tahadahari.

Hakuna madhara yoyte kwa abiria na zaidi ya basi ilo kuharibika.
 
Barabara zetu mbovuuu..huo ndio ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom