seyayi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 681
- 802
Vip hapo mkuu itokea hivyo huwezi kutumia hand break?Kwa aina ile ya gari mfumo wake wa break hutumia mafuta na upepo. Upepo utumika kwenye brake pedal hadi kwenye brake buster. Kutoka kwenye brake buster hadi kwenye cylinder ndani ya drum ni mafuta(brake fluid). Sasa iwapo itatokea dereva kutumia brake mda mrefu kutasababisha joto kali ndani ya drum hivo kuathiri ufanyaji kazi wa raba zinazozuia mafuta ndani ya cylinder. Iwapo itatokea hizo raba zikavuja basi gari litakosa brake.
Kwa upande wa upepo ikitokea itilafu kwenye mfumo wa upepo lets say pipe imepasuka, pedal la break na clutch hayatafanya kazi(kukosa ulaini wakati wa kukanyaga) na kukosa uwezo wa kuruhusu upepo kwenda kwenye buster za break na clutch hivyo gari itakosa break na pia hutaweza badili gia.
Mwisho gari inaweza kukosa break kwa kutoadjust break mara kwa mara
Hakuna aliyepoteza maisha.Poleni sana wafiwa!
Amezoea kila ajali ni kifo
Sawa kabisaNikusaidie,
Kutoka round about ya YMCA kuelekea round about ya NBC kuna mteremko. Hivyo kwa jinsi inavyoonekana ni dhahiri hilo Basi lilifeli Breki na Dereva alijitahidi kunyooka na barabara maana kwa mazingira ya lile eneo asingeweza kulikita sehemu yeyote.
Na angefanikiwa kuizinguka hiyo round about basi angeweza kusimama bila kusababisha madhara makubwa maana kuna kampando kadogo baada ya huo mzunguko wa NBC kuelekea stendi.
Poleni wahanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na aina ya handbrake systeam iliyofungwa kwenye gari. Kwa magari yanayotumia handbrake system ambayo iko intergrated na main brake system, once one fail means all fail. System ya pili ya handbrake ni ile inayofungwa nyuma ya gearbox na iko designed kushika propelor shaft. Shida yake ni kwamba hutumia shoe ambazo ni ndogo sana ambazo zina uwezo wa kuzuia gari ambayo ni static, gari ikiwa kwenye motion hazina uwezo wa kuzuia.
mashavu napendaga tu shingo yako kama ya ummy mwalimu vile
Nikusaidie,
Kutoka round about ya YMCA kuelekea round about ya NBC kuna mteremko. Hivyo kwa jinsi inavyoonekana ni dhahiri hilo Basi lilifeli Breki na Dereva alijitahidi kunyooka na barabara maana kwa mazingira ya lile eneo asingeweza kulikita sehemu yeyote.
Na angefanikiwa kuizinguka hiyo round about basi angeweza kusimama bila kusababisha madhara makubwa maana kuna kampando kadogo baada ya huo mzunguko wa NBC kuelekea stendi.
Poleni wahanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dereva kajitahidi,ila angenyoosha kwenye huo mnara angefanya jambo jema zaidi maana ameenda kuvaa magari ya watu.Inaonekana gari ilishamkataa tangu mbali sana.
Mkuu gari ilitokea round about ya Arusha hii njia inayotokea bomani na ile njia inamteremko mkali sana na inasemekana break zilikataaNikusaidie,
Kutoka round about ya YMCA kuelekea round about ya NBC kuna mteremko. Hivyo kwa jinsi inavyoonekana ni dhahiri hilo Basi lilifeli Breki na Dereva alijitahidi kunyooka na barabara maana kwa mazingira ya lile eneo asingeweza kulikita sehemu yeyote.
Na angefanikiwa kuizinguka hiyo round about basi angeweza kusimama bila kusababisha madhara makubwa maana kuna kampando kadogo baada ya huo mzunguko wa NBC kuelekea stendi.
Poleni wahanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa aina ile ya gari mfumo wake wa break hutumia mafuta na upepo. Upepo utumika kwenye brake pedal hadi kwenye brake buster. Kutoka kwenye brake buster hadi kwenye cylinder ndani ya drum ni mafuta(brake fluid). Sasa iwapo itatokea dereva kutumia brake mda mrefu kutasababisha joto kali ndani ya drum hivo kuathiri ufanyaji kazi wa raba zinazozuia mafuta ndani ya cylinder. Iwapo itatokea hizo raba zikavuja basi gari litakosa brake.
Kwa upande wa upepo ikitokea itilafu kwenye mfumo wa upepo lets say pipe imepasuka, pedal la break na clutch hayatafanya kazi(kukosa ulaini wakati wa kukanyaga) na kukosa uwezo wa kuruhusu upepo kwenda kwenye buster za break na clutch hivyo gari itakosa break na pia hutaweza badili gia.
Mwisho gari inaweza kukosa break kwa kutoadjust break mara kwa mara
Mimi namuona kijana wa bodaboda mwenye kofia ya buluu kushoto nadhani anaenda kuchomoa betri.Watu 15 wamepelekwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro Mawenzi nchini Tanzania kwa ajili ya kupata matibabu, baada ya basi la kampuni ya Harambee kudaiwa kufeli Breki na kuparamia magari mengine saba katikati ya mji wa Moshi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Salum Hamduni, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo jioni Jumanne Desemba 17, 2019 na kueleza imehusisha magari saba likiwamo basi la hilo la Harambee.
"Ni kweli kuna ajali imetokea jioni hii eneo la Benki ya NBC, iliyopo katikati ya mji wa Moshi na kwa sasa nipo Mawenzi hospitali, ambapo majeruhi wapo 15 na mmoja ndiye aliyeumia sana lakini wengine wamepara majeraha madogo ya kawaida na mishtuko na wanaendelea kupewa huduma ya kwanza," amesema Kamanda.
Kamanda Hamduni amesema chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika na kwamba uchunguzi unaendelea na atatoa taarifa rasmi pindi utakapokamilika.
"Ni mapema sana kuelezea chanzo cha ajali, kwa kuwa uchunguzi bado unaendelea, lakini pia sijapata taarifa ya idadi ya abiria waliokuwepo kwenye basi na magari mengine madogo yaliyohusika katika ajali hiyo" amesema.
Tukio hilo la kuogofya lilinaswa na camera za CCTV, zikionyesha namna basi hilo lilivyoshindwa kuzunguka katika mzunguko huo wa magari na kuparamia magari saba kabla ya kusimama.
View attachment 1295572
Regular service ni muhimu, ila driver training kwa aina ya gari anayotumia ni muhimu sanaKwa hali hiyo haiwezi kudhibitiwa na kuepukwa iwapo gari kama ingekuwa inafanyiwa regular service?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana hiyo mkuu ikitokea ku fail kwa break ni no way inabidi uchague mti wa kusimamia?Inategemea na aina ya handbrake systeam iliyofungwa kwenye gari. Kwa magari yanayotumia handbrake system ambayo iko intergrated na main brake system, once one fail means all fail. System ya pili ya handbrake ni ile inayofungwa nyuma ya gearbox na iko designed kushika propelor shaft. Shida yake ni kwamba hutumia shoe ambazo ni ndogo sana ambazo zina uwezo wa kuzuia gari ambayo ni static, gari ikiwa kwenye motion hazina uwezo wa kuzuia.
Mzee unajua kuendesha gari kweli?Kwa maana hiyo mkuu ikitokea ku fail kwa break ni no way inabidi uchague mti wa kusimamia?
Sent using Jamii Forums mobile app