Basi la Superfeo lapata ajali Songea

Basi la Superfeo lapata ajali Songea

NJOSS umepita mwaka gan kuu. Mi nimeishi dom2 miaka yote mi4. Ndovu, nyamagana ndo maeneo maarufu
Mkuu vile vyoo vya nyamagana ilikuwa balaa. Unapoingia ni lazima kama una koti uache nje. Mi ndovu ndo lilikuwa kimbilio langu
 
Mkuu vile vyoo vya nyamagana ilikuwa balaa. Unapoingia ni lazima kama una koti uache nje. Mi ndovu ndo lilikuwa kimbilio langu
Unakumbuka yale maandazi meusi mkuu, na mikate yake ya kikinga
 
Wataalam wa usiku wanasema pana vita kubwa Kati ya feo na ilyana
 
Unakumbuka yale maandazi meusi mkuu, na mikate yake ya kikinga
Yale maandazi tulikuwa tunayaita katala. Usipokuwa na hela ya katala ni mwendo wa kupiga mluzi tu. Kulikuwa na akina mama maarufu wa kuuza katala akiwemo mama Tom sijui kama bado yupo pale.
 
ni usafiri niliokuwa nauamini sana kila niendapo songea kutoka dar....huwa wana mwendo mzuri sana barabarani.
nadhan ni bahati mbaya tu
New force ndio yenyewe Demba
 
Hyo Alifariki jina lake nani.. Mana Kuna Kondakt mmoja binti hivi wa ruti hyo mby to song nanuelewaga sana.. Ila pole kwa majeruhi N RIP kondakta
 
Back
Top Bottom