Basi la Superfeo lapata ajali Songea

Basi la Superfeo lapata ajali Songea

Kama ajali itakuwa inawahusu dereva na konda basi usafiri wa basi hilo ni salama kabisa kwa abiria
 
ni usafiri niliokuwa nauamini sana kila niendapo songea kutoka dar....huwa wana mwendo mzuri sana barabarani.
nadhan ni bahati mbaya tu
 
Back
Top Bottom