Mkuu ulikuwa pale Njoss mwaka gani maana ni mdau wa Njoss piaEnzi tukiwa pale NJOSS story zilikua ndo hizo![]()
![]()
![]()
Class ya 2001 mkuuMkuu ulikuwa pale Njoss mwaka gani maana ni mdau wa Njoss pia
2001 mi ndo nilianza form one pale.Class ya 2001 mkuu
Ndiyo sababu yenyewe we unafikiri mauzauza ni mpaka litokee lijitu la kutisha barabarani,usikute hata hiyo simu haiukupigwa na mtu yeyote bali ilijipiga kimiujiza ,alafu jiulize gari liko speed 120 dereva makini unaanzaje kupokea simuUmenena vema mkuu Chikira na uzuri kwa hii ya Jana kuna ushahidi kabisa dereva alikua anachezea cm wakati wa ajali inatokea
Wenye mwendo mzuri ni ILYANA bus wanaenda kama kinyonga ila ndiyo ujiandae kufika SONGEA saa 6 usiku from DAR saa 12 asubuhini usafiri niliokuwa nauamini sana kila niendapo songea kutoka dar....huwa wana mwendo mzuri sana barabarani.
nadhan ni bahati mbaya tu
Unamkumbuka Mwlm Chura?2001 mi ndo nilianza form one pale.
na Milinga ?Duh!! kwn ni hiari yao au sheria za barabarani zinawalazimisha mkuu?Wenye mwendo mzuri ni ILYANA bus wanaenda kama kinyonga ila ndiyo ujiandae kufika SONGEA saa 6 usiku from DAR saa 12 asubuhi
AhhahwqqqqhqqqqqqqqhahahhhaaKinyesi chako
Poa mkuuAhhahwqqqqhqqqqqqqqhahahhhaa
mkuu hao ilyana wanapita njia ipi? ya moro au lindi?Wenye mwendo mzuri ni ILYANA bus wanaenda kama kinyonga ila ndiyo ujiandae kufika SONGEA saa 6 usiku from DAR saa 12 asubuhi
Nawakumbuka sana walimu hao enzi hizo mkuu wa shule ni Mwaita. Kulikuwa na chura na shula. Mmoja akifuñdisha civics mwingine History. Kwa bahati nzuri nimesoma hadi six pale na mabasi ya super feo nimeyatumia sana ikiwa na pamoja na kutumiwa fedha toka mbeya kupitia makondakta wa mabasi hayo maana enzi hizo mambo ya mpesa au Tigo pesa hayakuwepo.Unamkumbuka Mwlm Chura?![]()
![]()
![]()
na Milinga ?
AiseeeeeKama ajali itakuwa inawahusu dereva na konda basi usafiri wa basi hilo ni salama kabisa kwa abiria
Ndiyo sababu yenyewe we unafikiri mauzauza ni mpaka litokee lijitu la kutisha barabarani,usikute hata hiyo simu haiukupigwa na mtu yeyote bali ilijipiga kimiujiza ,alafu jiulize gari liko speed 120 dereva makini unaanzaje kupokea simu





NJOSS umepita mwaka gan kuu. Mi nimeishi dom2 miaka yote mi4. Ndovu, nyamagana ndo maeneo maarufuEnzi tukiwa pale NJOSS story zilikua ndo hizo![]()
![]()
![]()
Sahihi kabisa mkuu, na disko ilikua TurboNawakumbuka sana walimu hao enzi hizo mkuu wa shule ni Mwaita. Kulikuwa na chura na shula. Mmoja akifuñdisha civics mwingine History. Kwa bahati nzuri nimesoma hadi six pale na mabasi ya super feo nimeyatumia sana ikiwa na pamoja na kutumiwa fedha toka mbeya kupitia makondakta wa mabasi hayo maana enzi hizo mambo ya mpesa au Tigo pesa hayakuwepo.
, Majirani zetu mpechi