Basi la New Force lapata ajali leo asubuhi

Wamekosa ajira
 
Vipi kuhusu ajari ya city boy 2016 na 2018, new force 2016 iliyouwa watu 12 na mwaka 2018 iliyouwa watu 5, usimamizi hukuwa legelege. Na ripoti ya polisi 2019 ilisema watu zaidi ya 12,000 walifariki Kwa ajali Kati ya 2015-2019
Rudia kusoma post yangu.
 
Au madereva wameamua kuihujumu kampuni?

Unajua watu wanafuatilia idadi ya vifo tu kwenye hizi ajali ila majeruhi wengi wanaopata ulemavu wa kudumu mfano jeraha kwenye uti wa mgongo ni shughuli pevu kwenye familia zao.

Imagine unapata mtu wa kulisha,kuvisha etc maisha yake yote kwenye familia yako kisa uzembe wa mtu mmoja tu.
 
kwa mtu ambaye ni dereva aliyepita chuo akiangalia hilo gari lilivyo; atasema kuwa limegongwa na sio kama limegonga. Namaanisha kuwa, inaonekana kuwa kuna gari nyingine iliovertake vibaya ndio ikakutana na New force. Na kama ni hivyo, huyo dereva wa new force asihukumiwe kwa kosa la mwingine....
 
Sasa hivi mabasi hayakamatwi tena kwa kwenda mwendo kasi. Kuna makubaliani kati ya mtandao wa askari wa usalama barabarani na mtandao wa madereva ambapo kwa kuna namna madereva kupitia umoja wao sijui vikoba huwa wanawaingixia Polisi wa Usalama barabarani kupitia mtandao wao.
Hivi vicoba sijui SACCOS inabidi serikali ipitie miamala yake kujua inatoka kwa ajili ya nini na inaenda wapi na kama inafika. Otherwise nchi inajiweka hatarini.
Kuna watu walitakatisha pesa kupitia michango ya harusi feki. Mchi imeshajibomokea hii k8tambo sana, bado kuanguka tu
 
Sheria inayohusiana na usalama WA abiria iwe ni Moja la sharti ya kupewa mmuombaji WA leseni ya usafirishaji WA abiria yeye ndiye akayewapa madereva wake awaelekeze wanachotakiwa kufanyia wakiwa wanaendesha mabus ya abiria.madereva Hawa wanàtoa rushwa ya Tsh 1000-2000/ kwa tragic au wasimamimizi wengine hawawezi kufuata Sheria za barabata.Kisha sheria iweke kifungu kitakachomlazimu mmiliki WA bus lililosabibisja ajali awajibike kufanya yafuatayo a)kulipa gharama za mazishi zote b)kulipa gharama zaatibabu kwa majeruhi wote na zote c)kulea wajane na wagana wotekwa kipindi Cha miaka 10 d)kulea kwa kiwango kile kille mayatima wote Hadi wafikishe miaka 18 e)baada ya happy ndipo dereva ,aama mmiliki apelekwe kwenye vyombo vya sheria.Nfugu abiria tunakufa vifo vya kidalili sasa kwenye ajali hizo😕
 
Newforce again. Haya mabus kuna muda yanafululiza ajali. Sio kipindi hiki tu hata mkirudi nyuma mtagundua. Haya mabus yapigwe ban sijui kwanini serikali haishtuki
Ni kama pana kitu sio bure aisee yaani wanatulia harafu baadae utasikia tena...
 
Hii ipo Zimbabwe na Zambia pana jamaangu aliyakimbia ma bus yake Harare maana bus la kwanza lilipata ajali safari ya Messina via Harare akiwa anahangaika na Bima za hao majeruhi na kugharamia mazishi madeni yake hajamaliza ikatokea ajali bus lake lingine la Bulawayo via Jhb daah akikumbuka msala wa kwanza aliacha familia tu Serikali ikapiga mnada baadhi ya bus zake ndio kufidia gharama iliyotumia yupo SA hataki kabisa kuzungumzia usafirishaji anasema hiyo kazi ni rahisi Tanzania ikitokea ajali wahanga ndio wanahangaika na ndugu zao sio Makampuni ndio maana ajali haziishi...
 
Acha wivu wa kijinga sauli toka ameanza biashara ya usafirishaji haijawahi kuua

Acha zako sauli kaua kibaha mpk siku iyo gari lake limepigwa mawe kaua kibaha mara 3 ndani ya wiki 1

Ikafikia hatua wananchi wakaisubiri ije waichome moto
 
Jamani this is too much..wanataka watanzania watembee kwa miguu?? Hii nchi sasa wamedhamiria kutuvuruga
 
Madereva wa hii kampuni kuna wodi wametoroka. Au Kuna kitu wanavuta!
 
New Force mpaka waue mkurugenzi mmojawapo wa LATRA au RTO mmoja ndio watachukuliwa hatua.
New Force iko above the law.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…