bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,343
- 25,329
Duuh hii ni hatariMadereva wanawahi zile posho za watu kubeti yaani Kuna watz wamekaa mikoani wanabet nani atafungua geti Leo hii ni biashara ya kamari dereva anaefungua geti anapewa laki moja.Serikali ipige marufuku betting zote za mabus mfano pale uyole,kule kahama nk vijana wanakaa na ndoo kabisa za maji gari inayofungua geti inapokelewa kwa kumwagiwa maji yanafanyika,iwakamate wote wao ndio Chanzo Cha hizi ajali.
New force, Sauli, katarama,kiazi kikuu, Ally's,nk yaangaliwe kwa macho sita ndio yapo kwenye orodha ya hizi betting club za mabus Hawa vijana saa kumi na moja jioni wakionekana stand kamata wote wakafanye kazi zingine na Sio kutegemea betting za mabus huku watz wakiteketea kwa ajali sababu ya ushabiki wa kijinga.
New force juzi tu kapata
kuna basi la rungwe limepata ajari leo na pia kilimanjaro limepata ajali maeneo ya hedaru leo hii, hivyo kuna ajari tatu leo
Nusu mwaka mwezi wao huu wa marejesho tuzidi kuomba.Ajali ya 6 toka mwezi uanze
Madereva hawajali roho za watu. Abiria hatuwezi kutoa maelekezo kwa dereva. Unapanda basi kama unaenda machinjion.
kwahiyo msafiri hawazii usalama wake?Wewe sio msafiri wasafiri hawawazii vitu vidogo kama hivyo
Sawasawa mkuu.New force bado nichaguo sahihi mkuu pendelea kusafiri nazile zinazo anza safari saa12 asubuhi nyingi zinazopata ajari ni zile za saa9 nasaa11 alfajiri ziko speed sana
Ajari huwa inatokea kokote mkuu hata uwe nyumbanikwahiyo msafiri hawazii usalama wake?
Huwa sielewi. Ukimwambia dereva punguza mwendo endesha kwa weledi hakuna anayeunga mkono hoja na dereva akianza kubisha ndo kabisa hutopata sapoti.Abiria wengi wanabaki kimya wakiwa kwenye basi hata kama dereva ana fanya makosa na uzembe wa wazi. Binafsi sijanua tatizo liko wapi. Wanamhofu sana dereva.
Nimeenda kusoma comments kwa page zao mitandaoni.... huwezi amini wasafiri ndio wanaohamasisha na kusifia mwendo.Newforce again. Haya mabus kuna muda yanafululiza ajali. Sio kipindi hiki tu hata mkirudi nyuma mtagundua. Haya mabus yapigwe ban sijui kwanini serikali haishtuki
Yaani upande gari bovu halafu ukipata ajari useme ajari inaweza tokea popote wakati uwezo wa kuiepuka ulikua nao.Ajari huwa inatokea kokote mkuu hata uwe nyumbani
Watu wa mitandaoni utawaweza unakuta mtu anayeandika hivyo hajawahi hata kusafiriNimeenda kusoma comments kwa page zao mitandaoni.... huwezi amini wasafiri ndio wanaohamasisha na kusifia mwendo.
KUna comment wanataka gari za saa9 alfajiri lunch wakale mbeya na kugeuza kurudi Dar [emoji1][emoji1]
Na wanajua ratiba zote za gari??Watu wa mitandaoni utawaweza unakuta mtu anayeandika hivyo hajawahi hata kusafiri