Basi la New Force lapata ajali leo asubuhi

Hiki ndicho hutokea mamlaka husika ya usimamizi inapokuwa legelege.
Vipi kuhusu ajari ya city boy 2016 na 2018, new force 2016 iliyouwa watu 12 na mwaka 2018 iliyouwa watu 5, usimamizi hukuwa legelege. Na ripoti ya polisi 2019 ilisema watu zaidi ya 12,000 walifariki Kwa ajali Kati ya 2015-2019
 

Tafuta video angalia tuu kwa nje wangapi wamekatika wangapi wamesagika Alf uniambie na hao wataamka au
Kweny video watoto tuu wapi kma 4 wamesagika na kukatika Bado dereva kafia pale pale
 
Newforce again. Haya mabus kuna muda yanafululiza ajali. Sio kipindi hiki tu hata mkirudi nyuma mtagundua. Haya mabus yapigwe ban sijui kwanini serikali haishtuki

Kuna kiongozi wa Latra kawekeza pale pia Ndio maana
 
Kwahiyo wazawa sio wawekezaji?
 
Ndani hii wiki kwa New Force n ajali ya 3.
Siku 1 nyuma kabla ya ajali ya Njombe Kuna gari yao ilkuwa huku Swax iligonga hiace kwa nyuma

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jambo nyuma ya pazia, na tusiposhtuka mapema tunaisha
 
Hizi ajali hazitokaa ziishe mpaka pale tutakapopanua barabara ili kuwe na barabara ya kwenda tuu na nyingine ya kurudi na katikati kuwa na kitenganishi. Asilimia 98 ya hizi ajali ni kugongana uso kwa uso au kuparamia gari ingine kwa sababu ya ufinyu wa barabara.
 
New force pamoja na magumu wanayo pitia nikampuni iliyo saidia Sana kuondoa mabasi mabovu kwenye ruti nyingi hapa Tanzania Hao jamaa Kila baada ya miezi 6 wanaleta mabasi mapya yasiyo pungua 20 kwa Hilo nawakubali sana
 
Sasa ni basi gani walau ni makini kwa kipindi hiki, maana nilitaka kusafiri na hilo basi ila ndo hizo ajali zake zimenitisha..
 
Sasa ni basi gani walau ni makini kwa kipindi hiki, maana nilitaka kusafiri na hilo basi ila ndo hizo ajali zake zimenitisha..
New force bado nichaguo sahihi mkuu pendelea kusafiri nazile zinazo anza safari saa12 asubuhi nyingi zinazopata ajari ni zile za saa9 nasaa11 alfajiri ziko speed sana
 
New force juzi tu kapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…