momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,056
- 2,188
Mungu ni mwema sana kwa kuwalinda hata hivyo poleni kwa kuteketea kwa mali zenu.
Sidhani,labda mwenye basiVp Bima itahusika kurudisha
mali za abiria
Liwe LIM LIWE KIM IKIFIKA SIKUYAKO MKUU UNAWEZA KUWA CHANZO CHA GARI KUWAKA MOTO UWEZI AMINI HAYO MABASI KILA.MTU KATOKEA KWAKE WAPO WALIOTOKA GUEST AWAJAOGA WAPO WALIOKIMBIA MALAYA WALE MADADA NA ZILE KAZI ZA NYT AKITOA CHOZI UFIKI CHALINZE WAPO WALIONDOKA WANAENDA KWA VIMADA WAKEZAO WANAJUA WAKO KIKAZI HAYO NA MENGINEO YANAWEZA KUWA CHANZO USIWE NA SHAKA MUHIMU KABLA YA KUPANDA BASI AMA NDEGEJamani haya magari mimi mwenyewe hili basi la LIM SAFARI lilitaka kutuunguza hapo Ruvu Darajani mwezi wa saba mwaka huu, tulikuwa tunatoka Dar kwenda Arusha, gari lilianza kuwaka moto, wakasema hivyo hivyo ni breki, watu wa nje ndio walianza kupiga kelele dereva asimamishe gari, kwani kulikuwa na moto. Tulifanikiwa kutoka wote na watu walikuja kuzima moto na maji. Tukaletewa basi lingine tunaondoka. Nimekumbuka mbali mno.
hayajakukuta
Kuna watu Bado wanasafiri na vyeti ?Msifanye uhakiki wa vyeti tena! Maana kuna watu wameunguliwa vyeti vyao.
Za aniria hawalipi isipokuwa za abiria ndio wanalipa !sasa usombee huko kwenue begi kubwa umeweka vyeti vyote orijino..dokumenti muhimu na pesa nyingi...loh
hivi wanalipaga fidia mali za aniria?
una mawazo finyu infactcheap things are expensive ....hawa wachina, tumuombe Mungu!
Ndio maana nasi wenye mawazo finyu tunatafuta kutambiliwa lakini kama case zinatokea nyingi kwenye aina ya vyombo vinavyofanana ni lazima kuwa na fikra hasi mkuu. Case za Scania kuungua sio nyingi sana.una mawazo finyu infact
sasa usombee huko kwenue begi kubwa umeweka vyeti vyote orijino..dokumenti muhimu na pesa nyingi...loh
hivi wanalipaga fidia mali za aniria?