Basi la Kampuni ya Abood lateketea kwa moto

Basi la Kampuni ya Abood lateketea kwa moto

... ma-YUTONG ya kichina hayo mnachomekachomeka USB ovyo kuchaji simu; ndio limejibu hivyo!
Kwa uchunguzi wangu mdogo nimegundua Moto huwa unaanzia kwenye matairi. Haya magari yatakuwa na matatizo ya breki kujam.
 
Kwa uchunguzi wangu mdogo nimegundua Moto huwa unaanzia kwenye matairi. Haya magari yatakuwa na matatizo ya breki kujam.

Kinachonifurahishaga moto unaanza mdogo mdogo mpaka unakolea watu wanatizama tu,sasa sijui fire extinguisher huwa wanakuwa wameulia mbu zimeisha!!!sijui.
 
kuna abiria mmoja mjinga kavaa shati jeupe ameshuka then anarudi tena ndani kufuata bag!?

Moto ulikuwa haujakolea anasaidia kutoa mali za abiria.ungeisha komaa asingethubutu.
 
Back
Top Bottom