Basi la Dar Express laungua moto

Basi la Dar Express laungua moto

Duh! aisee hatari sana halafu haya mabasi unakuta mlango wa kutokea upo mmoja tu tena upo karibu na Engine!!
 
vubzr.jpg
Kazi ya Mungu haina makosa.
 
dar hii hatari sasa,fikiria kama lingekuwa linendelea na safari,ilikuwa nikasheshe eti,,,!vp lkn hakuna walioathirika?mtujuze mlioko huko ua wenye habari kamili
 
Duh aise ni hatari sana
Wenye taarifa za abiria na kama kuna walioumia
 
Ma Bus , Lori Wanatakiwa kufunga DSPA 5 ili kusaidia kuzima moto utokeapo na ikibidi wafunge DSPA ndani pia aina ya automatic wanaweza kupata taarifa za vifaa hivi namba hii

0685 252525 au 0767 554433 wanaweza kuokoa maisha ya watu ukitokea moto make safety to come first
 
Juzi basi la adventure kutoka Mwanza kwenda Kigoma limeungua leo tena Dar Express limeungua wiki hii kunani?
 
Duh! aisee hatari sana halafu haya mabasi unakuta mlango wa kutokea upo mmoja tu tena upo karibu na Engine!!

Kuna wakati lilipoungua Mohamed trans wakafa abiria wengi, iliwekwa sheria kuwa kila basi liwe na mlango/milango ya dharura... Walidhibiti kwa kipindi fulani, alipoingia mkuu wa traffic mwingine ikaisha. Siku hizi mabasi kama chupa tu...
 
daah! cuf naona MMuungu amewanusuru?
 
Oooh my God! Ni siku 3 zilizopita I was traveling from Arusha to Dar in One of the buses.Any injuries? Death? Please update us!
 
Hii si kawaida! Abiria wamepona?
 
Juzi basi la adventure kutoka Mwanza kwenda Kigoma limeungua leo tena Dar Express limeungua wiki hii kunani?

Kila wakati CCM ikiwa kwenye mitihani lazima yatokee majanga, si mnajua hiki ni Chama Cha Majini?
 
Natoa pole kwa waanga wa ajari hii,poleni sana nawatakia mpatesubira ktk kipindi hiki kigumu.Mungu yupamoja nanyi wote
 
Inasikitisha sana jamani tuepini update kama abiria wamepona
 
Back
Top Bottom